Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,890
109,227
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
 
Kwa kuwa hajaitaja Olduvai na kusema iko Kenya Sina tatizo naye.
Pia knowledge ni dynamic sana una hakika hakuna tafiti za karibuni zimegundua sehemu huko Kenya ambapo mtu wa kale aliishi miaka mingi kabla wa huyu wa Olduvai? Tafiti kwanza huyo jamaa ana ground ya hiyo hoja yake.
 
Kwanza hata haina faida yoyote kwa mtanzania ambaye hana uhakika na milo mitatu na bandari inakodishwa milele na milele
 
Hizi historia zina ukakasi na hivyo kila mmoja atavutia upande wake.

Kuna mifupa ya mtu pia iligunduliwa Turkana, Kenya. Inayosadikika kuwa ndiyo ya watu wa kwanza kuishi.

Hivyo, kila mmoja kwa wakati wake atavutia upande wake. Hajafanya kosa lolote. Kila mtu aishereheshe nchi yake kwa wakati wake.

Nilidhani amesema Kilimanjaro, kumbe mambo ya mtu wa kale? Kuna nadharia kibao sana. Hata Ethiopia pia, kuna madai ya uvumbuzi ya mtu wa kale.

Tanzania kuna fuvu, Kenya kuna mifupa.
 
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.

Ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.

Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.

This is free world

Na Sisi tunaweza kusema vya kwao, wala haina shida

Sio kulialia tu
 
Mleta mada hakuna ulichoandika. Hangesema Olduvai Gorge ipo Kenya ningekuelewa.
 
Watanganyika tunataka Bandari zetu mlizouza kwa Waarabu. Mambo ya Ruto kwa sasa hayatuhusu tafadhali.
 
Ni sawa tu, hata soko la tanzanite dunia wanajua fika Kenya ndio tanzanite inapatikana!!
 
Back
Top Bottom