rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Israel Bw. Isaack Herzog asema 'In Gaza Everyone is Guilty until proven Innocent' including civilians

    Katoka hali ya kushangaza Rais wa Israel bwana Isaac amenukuliwa akisema kila mtu anaeishi Gasa ni mhalifu bila kujali ni rais ama wanamgambo wa Hamas hadi pale itakapokuja kuthibitishwa tofauti hivyo jeshi la Israel halitaacha mtu yeyote kwa sababu wote ni wahalifu. Binafsi hua najua kisheria...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  4. JamiiForums Tanzania Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

    Mama shikamoo! Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana. Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana. Mfano VPN ni njia pekee katika cyber...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

    Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake. Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je...
  6. JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia atafanya ziara za kushtukiza?

    Every good deed should be hold and preserved. Licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. Hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadhi ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

    Ziara ya Rais Samia Nchini India imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa kwake binafsi in personal Kwa Kutunukiwa tuzo lakini Kwa Taifa kutokana na kusainiwa Kwa Hati 14 katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na Kijamii. Nitatoa mfano wa sekta ya Kilimo.Kupitia ziara hiyo Serikali ya Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara Mkoa wa Manyara

    Salaam Wakuu, Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara. Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India. Nashauri apumzike japo wiki sababu atachoka sana. Nakumbuka alifanya ziara Arusha hadi akaomba...
  12. JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

    Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104 Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
  13. JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

    1. Abdul alikwenda kama nani? 2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini? 3. Mawaziri lukuki wa nini? 4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo Pesa zimepondeka kisawasawa HAPO HAPO TUNALIA 1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi akutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho Oman

    Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023. Rais Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar katika kile kilichotajwa kuwa ni fursa za kuendeleza ushirikiano katika...
  18. JamiiForums Tanzania Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

    Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo. Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  20. JamiiForums Tanzania Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

    Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017. George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…