rais

  1. M

    Rais Samia, tunaomba ujenge Football Academy

    Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu. Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye...
  2. S

    Umeme umekuwa janga la Taifa, Rais jitokeze uiambie Taifa ukweli

    Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
  3. K

    PreGE2025 Kama itapendeza uchaguzi usogezwe mbele na Rais apewe muda ili tupate Katiba Mpya

    Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
  4. Je Katiba ni mali ya Serikali? Kama sivyo, kwa nini mpaka Rais ndo aruhusu mchakato?

    Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi Rais anapaswa...
  5. Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  6. Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

    Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar. Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu...
  7. Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
  8. PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  9. PreGE2025 Tuseme ukweli: Rais Samia akiruhusu mchujo kwenye nafasi yake atabaki?

    Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini. Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni. Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo...
  10. Falsafa ya 4R inavyombeba Rais Samia

    MIAKA mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan akabidhiwe kijiti cha kuiongoza Tanzania wadau wa demokrasia wanaielewa falsafa yake ya 4R yaani maridhiano, ustahamilivu, mageuzi na kujenga upya. Wakati akikabidhiwa kijiti Machi 2021, Rais Samia alisitiza dhamira yake ya kuijenga Tanzania moja...
  11. Rais wetu Samia anasifiwa sana, tena anafanya mambo makubwa kimya kimya, ni yepi hayo?

    Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo, lazima uishinde njaa kwanza na ndipo utapata balansi ya fedha za kuanzisha vitu vingine kama kujenga...
  12. Ngara: Taarifa ya Kupokea Mamilioni ya Fedha Kutoka kwa Rais Samia Kwenda Jimbo la Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anapenda kuwajulisha wananchi wote wa Jimbo la Ngara kuwa kazi yake ya uwakilishi inaendelea kulipa baada ya kushiriki kuipitisha Bajeti ya Serikali sambamba na kufuatilia fedha za kujenga miundombinu mbalimbali ndani ya Jimbo la Ngara...
  13. Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  14. Rais Kagame: Hakuna chombo chochote nje ya nchi kinachoweza kuiamuru Rwanda nini cha kufanya katika uongozi

    Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo utakaowapa mwongozo wa matendo yenu kwenye masuala mbalimbali” “Kwa kuizingatia historia ya Rwanda...
  15. Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  16. Eng Hersi Tangu awe Rais vilabu barani Afrika pamoja na kujihusisha na sera za CCM, Yanga inaelekea kuzama na haitoibuka kamwe!

    Poleni Young Africans lakini huo ndiyo ukweli ambao wengi wenu hawataki kuusikia kamwe!. Msimu huu wa Mwaka 2023/2024 Bingwa wa ligi ya NBC ni AZAM SPORTS CLUB!. Naomba kama kuna mtu anabisha kuhusu hili suala awake pesa ili tusibishane kwa maneno!.Ndugu zangu mimi ni shabiki lialia wa Mnyama...
  17. SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa. Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata. Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
  18. Je rais kama mtumishi wa umma, hawezi kukopa kwa mshahara wake?

    Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
  19. Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

    Tumieni akili acheni ujinga na upuuzi. Kila kona watu watu wanalalamika kuna dhuluma na uhuni. Mbona hayati Magufuli alipinga haya? Mbona alikusanya mapato na kudhibiti wizi wa mali za umma. Haya mbona hamsemi ukweli kuwa mama amefeli? Mama amefeli
  20. Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

    Wakati nchi ya Ghana imeamua kuwekeza katika soka, serikali yao iliweka mazingira vutivu kwa wawekezaji wanaotaka kufungua academy, academy zikafunguliwa nyingi kama Makanisa ya jiji la Mbeya. Miaka 10 baadaye timu ya taifa ya Ghana ikaanza kuimarishwa na vijana waliotokea kwenye academy zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…