Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 570
- 1,229
Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa kufika. Ni Kiongozi aliyejishusha kuliko. Nani kiongozi Kama Dkt. Kikwete. Ubarikiwe Sana Mhe. Tumuombe Sana huyu kiongozi wetu Mstaafu. Leo nimemuona kwenye Msiba wa mke wa mtangazaji Gerald Hando. Viva Dkt. Kikwete.