Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu.
Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye football.
Hivyo, tunamba serikali yako tukufu inaweka mazingira ya kuhakikisha ya kwamba nchi Inakuwa na mfano wa kisasa ambao utawezesha kupata wachezaji sahihi na wenye umri sahihi.