rais

  1. Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  2. PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  3. PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
  4. Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  5. Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia katika Jamhuri ya Indonesia tarehe 24-26 Januari 2024

    ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA KATIKA JAMHURI YA INDONESIA TAREHE 24-26 JANUARI 2024 Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba kuelezea ziara za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Indonesia. Dkt. Samia...
  6. Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza. Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
  7. Mnapenda Pesa anazotoa Rais katika makanisa yenu lakini mnachukia misimamo ya viongozi wa makanisa yenu huu ni upumbavu

    Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam. Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
  8. Ni nani asiyefahamu Rais wa nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan?

    Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa! Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
  9. PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu. Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania...
  10. PreGE2025 Wapinzani wa nchi hii hawajui wanachotaka. Kila rais anaeingia madarakani hawamtaki

    Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya! Matusi...
  11. PreGE2025 Mwenezi Makonda ampatia tsh milioni 2 kijana mjasiriamali mwenye kujiendeleza kibiashara

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amempatia kijana wa kiume mjasiriamali mwenye ulemavu kiasi cha Tsh Milioni 2 kama sehemu ya kujiendeleza katika biashara yake ya duka la vinywaji. Mwenezi Makonda amefanya hivyo mara...
  12. Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  13. Sungusia Rais TLS, Kulishitaki Gazeti la Mwanahalisi. Awataka Wanachama wa TLS kushiriki mijadala ya maamuzi, wasiishie kulalamika mitandaoni

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika - y yThe Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Harold Sungusia tarehe 19 Januari 2024 ametoa ufafanuzi, ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake ikiwemo tuhuma zinazungumzwa dhidi yake. Sungusia ambaye anashika Madaraka ya Urais tangu...
  14. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali. Akitoa mfano wa huyu wa...
  15. KWELI Rais Daniel Arap Moi alihudumu nafasi ya Urais bila kuwa na First Lady

    Kuna kijiwe huku Bonyokwa tunapiga stori za kawaida kuhusu nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sasa kuna jamaa kasema kuwa Rais wa awamu ya pili nchini Kenya, Hayati Daniel Arap Moi wakati anaingia madarakani hakuwa na mahusiano kabisa na hakutaka kujihusisha nayo kabisa. Nguvu kubwa...
  16. R

    Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  17. Aidha ni miongoni mwa wenye kumwangusha Rais Samia na au anafanya yaleyale ya mtanifanya nini!

    Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie ubaya unaozidi ubaya, hawawezi kukufanya chochote, zaidi sana wataandika na kulalamika huku wakiishia...
  18. M

    Rais Samia, tunaomba ujenge Football Academy

    Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu Hassan una mapenzi ya dhati ya mpira wa miguu. Hata hivyo, tunakuomba mheshimiwa Rais hakikisha kabla ya kumaliza muda wako 2030 uhakikishe ya kwamba umeacha misingi ya uhakika ili taifa letu liweze kufikia kiwango cha mataifa yaliofanukiwa kwenye...
  19. S

    Umeme umekuwa janga la Taifa, Rais jitokeze uiambie Taifa ukweli

    Watanzania wenzangu sijaona hali mbaya ya umeme km wakati huu. Tuliambiwa ilikuwa tatizo la upungufu wa maji kutokana na ukame. Mvua imenyesha tangia mwezi wa 11 na mpaka sahivi inanyesha mpaka imekuwa kero. Lakini hakuna umeme na hali ndiyo imekuwa mbaya sana, hata km watanzania mmezoea ni...
  20. K

    PreGE2025 Kama itapendeza uchaguzi usogezwe mbele na Rais apewe muda ili tupate Katiba Mpya

    Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…