Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

TrioNeTwork

JF-Expert Member
Aug 7, 2022
356
304
IMG-20221123-WA0126.jpg

SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA,

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania.

IMG-20221123-WA0114.jpg

Shaka ameyasema hayo leo mjini Babati, mkoani Manyara wakati akisalimia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hasaan ambae alikuwa katika ziara ya siku ya mwisho ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

IMG-20221123-WA0116.jpg

"Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania kipaji chake cha siasa, kipaji chake katika uongozi ni chachu ya maendeleo endelevu, lakini ubunifu wake umeleta ari mpya ya kusukuma kasi ya maendeleo ndani ya taifa letu," amesema Shaka.

IMG-20221123-WA0095.jpg

Shaka anaendelea kwa kusema kuwa Rais Samia kwa Uchapakazi wake tayari ameshaua ndoto nyingi za Wasaka Urais ifikapo Mwaka 2025 kwani kwa Umoja na Mshikamano wetu kama CCM kamwe hatuwezi kumwacha mtu anayefanya mambo makubwa kama Rais Samia Suluhu Hassan.

Shaka anasmea "imekwisha hiyo Tukutane 2030 ishallah kwa Majaliwa ya Mwenyezi Mungu,

Sikiliza hiyo video Mpaka Mwisho

Saaafi,

"imekwisha hiyo tukutane 2030"

Kazi nzuri anazofanya Rais Samia binafsi napendekeza hata nyie Upinzani achaneni na nia ya kuwa na mgombea wa Urais,

Rais Samia anastahili pongezi na sapoti toka makundi yote,

IMG-20221123-WA0119.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kumtetea huyu bibi inahitaji ujitoe ufahamu haswa.
Unajitoaje Ufahamu.

Rais anatoe elimu bure kindagateni Mpaka kidato cha 06.

Rais anayetoa RUZUKU ya mbolea kwa zaidi ya 150bln

Rais anayefungulia Wapinzani wote toka magerezani akiwe Mbowe.

Rais anayekusanya zaidi TZS 2T za Kodi kwa Mwezi.

Rais anayeongeza mishahara na Madaraja kwa watumishi wote.

Rais anayetoa BIMA kwa kila Mtanzania,.

Yaaani unasema ni kazi kumtetea huyu mtu?
 
Unajitoaje Ufahamu,

Rais anatoe elimu bure kindagateni Mpaka kidato cha 06,

Rais anayetoa RUZUKU ya mbolea kwa zaidi ya 150bln

Rais anayefungulia Wapinzani wote toka magerezani akiwe Mbowe,

Rais anayekusanya zaidi TZS 2T za Kodi kwa Mwezi,

Rais anayeongeza mishahara na Madaraja kwa watumishi wote,

Rais anayetoa BIMA kwa kila Mtanzania,

Yaaani unasema ni kazi kumtetea huyu mtu?
Fa. ..la wewe
 
Kama jana mechi zote zimenipita na mishumaa yangu.☹

Mwanzo mgao wangu ulikuwa masaa matatu kwa siku jana wamezima kuanzia Alfajiri hadi saa tano usiku.
 
View attachment 2425515
SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA,

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania.
View attachment 2425517
Shaka ameyasema hayo leo mjini Babati, mkoani Manyara wakati akisalimia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hasaan ambae alikuwa katika ziara ya siku ya mwisho ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
View attachment 2425518
"Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania kipaji chake cha siasa, kipaji chake katika uongozi ni chachu ya maendeleo endelevu, lakini ubunifu wake umeleta ari mpya ya kusukuma kasi ya maendeleo ndani ya taifa letu," amesema Shaka.
View attachment 2425521
Shaka anaendelea kwa kusema kuwa Rais Samia kwa Uchapakazi wake tayari ameshaua ndoto nyingi za Wasaka Urais ifikapo Mwaka 2025 kwani kwa Umoja na Mshikamano wetu kama CCM kamwe hatuwezi kumwacha mtu anayefanya mambo makubwa kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Shaka anasmea " imekwisha hiyo Tukutane 2030 ishallah kwa Majaliwa ya Mwenyezi Mungu,

Sikiliza hiyo video Mpaka Mwisho
View attachment 2425513

Unajitoaje Ufahamu,

Rais anatoe elimu bure kindagateni Mpaka kidato cha 06,

Rais anayetoa RUZUKU ya mbolea kwa zaidi ya 150bln

Rais anayefungulia Wapinzani wote toka magerezani akiwe Mbowe,

Rais anayekusanya zaidi TZS 2T za Kodi kwa Mwezi,

Rais anayeongeza mishahara na Madaraja kwa watumishi wote,

Rais anayetoa BIMA kwa kila Mtanzania,

Yaaani unasema ni kazi kumtetea huyu mtu?
Wewe ni walewale kupe, mtanzania gani ana bima?
Hayo uliyoyataja ni kodi zetu, rais hatoi hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom