rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hapendi kodi na mali za dhuluma; vipi kuhusu viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Moja kwa moja kwenye mada. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama yetu mama Samia Suluhu Hasani amjipambanua na kweli ukimuangali usoni unaona kabisa kuwa mama hapendi mambo ya dhulma ikiwemo kodi. Hoja yangu ni juu ya mali ilizojimilikisha...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kamaliza kabisa leo Mwanza, ameahidi kutoa kipaumbele kwa vijana

    VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA. Na: Philipo Mwakibinga. Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
  4. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametunyoshea kidole vijana kwa kuwa hatueleweki

    Leo Rais ametunyoshea mkono vijana kwa kuwa hatueleweki. Hatuna mipango. Amesema kuwa Vijana wamekuwa wabeba maono/ Mabegi wa watu. Hatuna dira kama Vijana hata sera ya tangu 2007 haina maboresho yoyote. Nikiri kuwa Mimi ni sehemu ya tulioshiriki kuandaa rasimu ya Vijana ambayo sasa ni miaka 6...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

    Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana. Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake. ======== "Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  7. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

    Salaam kwa jina la jamhuri ya muungano Mama Samia Suluhu Hassan! INGILIA KATI KWENYE HILI WAKULIMA WANATAKA KUKIBOMOA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI. Kiwanda cha sukari Mbigiri ambacho haijulikani ni lini kitaanza kazi kuokoa mamilioni ya pesa yatayopotea kwa kuaribika kwa miwa iliyofikia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
Back
Top Bottom