rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Dear Rafiki

    Kwa yeyote atakaaependa tuwe marafiki wa kuchat humu basi karibu pm au mimi nikaribie ya kwako. Nawapenda nyote peace and love y'all
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  3. Marconho

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali. Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Namtamani rafiki wa mke wangu

    In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana. Huu ni ugonjwa au sijui ni nini, mimi sitaki kula vya karibu. Kwenu wakuu mnishauri...
  5. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Kwenu mashemeji... Hadi sasa hajatokea bado mtu wa kuivunja rekodi ya mashemeji kwa upambe, mashemeji ni wapambe sana yani ni wapambe nuksi. Halafu tabia zao zinavyofanana unaweza kudhani lilikusanywa kundi la watu wakawekwa pamoja wakaambiwa nyie mtaitwa shemeji na tabia zenu zitakua hizi...
  6. Viva89

    JamiiForums Tanzania Unaweza date current ex wa rafiki yako?

    Jamani jamani, kuna mdada kaachana na boyfriend wake, hata mwezi haujapita rafiki wa yule jamaa akaanza kumtongoza, pamba moto hatari, demu akamuambia siwezi toka na Wewe kwa sababu wewe na ex wangu marafiki, mtu haelewi. Kiukweli mi nadhani amblock kwa sababu namuona sio mtu mzuri. Mnaonaje...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  8. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

    Usishangae sana sii kwa ubaya huyo huyo best friend wako wa damu damu, ambae muda mwingi unapoteza nae, huyo huyo ambae shida zako nyingi anakusaidia kutatua kwa moyo wake wote. Huyo huyo ambae ukibahatika kupata pisi kali au danga unakuwa wa kwanza kumpelekea umbea .Huyo huyo ambae ambae...
  9. Annny

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa Ushauri na rafiki yangu kuhusu wasichana wake wawili

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote) Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
  10. Syolosu

    JamiiForums Tanzania Malighafi ya vikapu rafiki kwa mazingira

    Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Naomba kwa mwenye taarifa ya upatikanaji wa zile kamba za kuwambia/ kushonea vikapu hivi vya Siku hizi ambavyo ni rafiki kwa mazingingira. Wengine wanasema kamba hizo zinatoka kenya bila kutoa usahihi zinapo patikana. Ni kamaba kwa mwonekano...
  11. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanaoamini mapenzi ya kweli kama mimi?

    Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano. Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

    Mambo vp jamiiforums. Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana. ========== ========== Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Je, Gwajima alimshauri rafiki yake atoe rushwa?

  14. T

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu aliyeishi maeneo ya Mwenge magorofa ya Jeshi miaka ya 2005-2009/10

    Habarini ndugu zangu, poleni na majuumu, namtafuta rafiki yangu kipenzi anaitwa JOSHUA RUSHINGWA (NDALU), nilipotezana naye mwaka 2009, yeye alisoma shule ya Sekondari KAMBANGWA, na alikuwa anaishi Mwenge magorofa ya jeshi karibu na mlalakuwa, ukiwa unatokea Sinza Afrikasana ni baada ya kota za...
  15. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
  16. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

    Habari za uzimaAISEE SIO MIMI)
  17. Pedrz

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

    Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu...
  18. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

    Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa. Baba yangu alikuwa anamlipia...
  19. DAD'S SON

    JamiiForums Tanzania Ulishawai kunafikiwa na rafiki?

    Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends. Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu...
  20. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    Salute mates... Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila...
Back
Top Bottom