Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 867
- 1,008
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.
Naomba kwa mwenye taarifa ya upatikanaji wa zile kamba za kuwambia/ kushonea vikapu hivi vya Siku hizi ambavyo ni rafiki kwa mazingingira.
Wengine wanasema kamba hizo zinatoka kenya bila kutoa usahihi zinapo patikana. Ni kamaba kwa mwonekano kama plastic lakini zina asili ya kuweza kuoza baada ya kuchoka.
Naomba kufahamu zina uzwa sh. Ngapi kwa roller moja, zinaitwaje kiusahihi, zinapakiwa kwa kilo ngapi kwa roller. Kiujumla nahitaji taarifa zake kibiashara zaidi