polisi

  1. Mwanafunzi wa CBE aliyejinasibu kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutapeli akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu hiyo Maalum. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi...
  2. Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  3. Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  4. NEMC fanyeni kama Polisi au Jeshi la Uhamiaji

    Mitaani kumechafuka hivi sasa Vigodoro vinakesha kwenye makazi ya watu serikali za mitaa zimetiwa mifukoni mwa watu Makanisa yanafunga speaker kubwakubwa zisizotofautiana na zile za kumbi za disco kwenye open space Bar nazo zinasumbua usiku kucha miziki mizitomizito kwenye makazi ya watu Wauza...
  5. M

    Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  6. Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
  7. Iran: Wakati maandamano yakiendelea, Polisi wa Maadili waondolewa mtaani

    Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea. Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
  8. Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  9. Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi. Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
  10. DOKEZO IGP Wambura, Waziri Masauni futeni ufisadi wa kundi hili la raia ndani ya Jeshi la Polisi

    Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi, that’s why nimeeleza kwa ufafanuzi kuwa ninaowazungumzia hapa ni wale walio ndani ya jeshi hilo na...
  11. Kuhusu rushwa polisi

    Salam Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
  12. India: Polisi walaumu panya kula Kilo 200 za bangi zilizotakiwa kutumia kama ushahidi

    Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
  13. J

    Polisi waingilia mkutano wa Chadema jimbo la Mtama

    ..kuna kipindi Ccm walikuwa wakisema Chadema ni chama cha msimu. Kinaibuka na kufanya siasa wakati wa uchaguzi tu. ..sasa Chadema wamebadilika wanataka kufanya mikutano muda wote, Ccm wanatumia Polisi kuzuia mikutano hiyo.
  14. Iran, mpaka sasa wameuawa Polisi 50 waliokuwa wanapambana na waandamanaji dhidi ya udhulumaji wa kidini

    Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini. Maandamano bado yako pale pale....wamekomaa ============================== DUBAI (Reuters) - Around 50 police have...
  15. Kagera: Polisi waua watatu waliodhaniwa kuwa Majambazi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP William Mwampagale amesema tukio lilifanyika kwenye operasheni maalumu baada ya kupata taarifa kuwa kuna kundi la watu waliopanga kufanya uhalifu. Amesema kundi lilikuwa na wanaume 5 na katika uchunguzi wa awali walibaini wamekuwa wakifanya matukio ya unyang’anyi wa...
  16. Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

    Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini. Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
  17. Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

    Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
  18. Jeshi la Zimamoto lakanusha Ndege ya Precision Air kuangushwa kwa ajili ya mazoezi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli. Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
  19. Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran. Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
  20. Kahama: Mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto 10

    Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…