polisi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

    Kwa ufupi na kwa uchache; "Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!" "Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Askari ana haki ya kutumia Silaha ili kujilinda

    JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali. Taarifa hiyo imetolewa na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Aliyekuwa akisafirisha Mirungi afariki dunia wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock. Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi au mfanyabiashara atakayetaka kusafirisha korosho kwa barabara kuomba kibali kwa polisi na mkuu wa mkoa! Nini maoni yako?

    Mhe. Rais ameelekeza korosho yote ya Mtwara isafirishwe kwa njia ya meli kupitia bandari ya Mtwara; vinginevyo ukitaka kusafirisha kwa barabara lazima uombe kibali kwa mkuu wa mkoa na polisi ikieleza kwanini uruhusiwe kutumia barabara. Kwanini amri hii imetolewa ? Kuna faida gani kutumia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

    Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  11. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

    Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa. Aina ya gari: Nissan Gloria No za usajili T887 CKW Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam. Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi. Ahsante kwa ushirikiano. Wako Mmiliki, Bemendazole
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

    Atarejea kufanya Mkutano Wake Karatu au ndio katishika? Ikumbukwe kabla na hata baada ya kushambuliwa na risasi, Lissu hajawahi kamatwa na Polisi. Mara ya mwisho ni Ile aliyokimbilia ubalozini kukwepa Kukamatwa. Soma: Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

    IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  16. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuhakiki ikiwa gari Iina deni la Polisi kabla ya kununua

    Hiyo itaepusha usumbufu wa kununua gari kisha kukuta Lina madeni mengi. Madeni ya Parking na ya faini za Polisi.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    Tazama hii video uone namna baunsa wa Diamond alichomfanyia polisi.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

    Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake! Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Polisi nchini Uingereza wazuru darasa la yoga baada ya kupokea taarifa ya mauaji ya halaiki

    Polisi nchini Uingereza wamezuru kwenye darasa la yoga katikati ya jiji baada ya raia mmoja kutoa taarifa ya mauaji ya halaiki. Maafisa walikimbilia mahali hapo huku ving’ora vya gari vikilia na kuwakuta washiriki wa darasa hilo wakitafakari kimyakimya. Hoteli ya Seaside inayotazamana na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
Back
Top Bottom