Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru aikomboe Tanganyika iwe nchi huru kiuchumi, kisiasa, kijamii na kifikra. Wananchi wawe huru kutoa mawazo.
Wananchi wawe huru kuikosoa serikali na kuwa wazalendo wa kutetea raslimali za nchi. Wanaopinga uovu wa mikataba tunayoingia wanatutetea sisi sote mkiwepo...