Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,864
15,311
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.

Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake baada ya kutuhumu Mkewe kuwa na mahusiano nje ya ndoa na baada ya muda mke kuamua kuondoka na kwenda kuishi Mwenyewe na kwenda kuripoti polisi kuwa mumewe anamtishia na silaha.

Chinga alipigiwa simu na polisi akiwa kwenye mazishi ya kaka yake huko moshi Kilimanjaro Juu ya kwenda kuripoti kituoni.

Baada ya kurejea kutoka msibani Na kwenda kuripoti polisi Akiwa kituoni yalitokea mabishano kati yake yeye na Polisi na hivyo kuamua Kunywa sumu akiwa kituoni na kufariki dunia akipelekwa kituo Cha Afya Murieti.
Mwili wa marehemu Chinga umesafirishwa kwenda kuzikwa kwao Machame mkoani Kilimanjaro.

Balozi wa mtaa huo ndugu Yahaya Abbasi amesema yeye hajawahi kuletewa Mashitaka yoyote kuhusiana na mgogoro wa kifamilia katika familia hiyo.

Mwenyekiti wa mtaa wa FFU BI Veronica Guta Amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo hilo katika mtaa wake.
 
daah alale salama mpambanaji..maisha ya afirika msala.
 
Madini, mke, kaondoka, makazi ni FFU, alimtuhumu mke anatoka nje ya ndoa, ni mfanya biashara na mchimbaji, kanywa sumu kituoni?????

Hakuna mgumu wa kwenye madini anayekata tamaa kizembe hivyo na kunywa sumu aache huku nyuma watu asiowaamini....

Kuna zaidi ya hii hadithi...
 
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.

Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake baada ya kutuhumu Mkewe kuwa na mahusiano nje ya ndoa na baada ya muda mke kuamua kuondoka na kwenda kuishi Mwenyewe na kwenda kuripoti polisi kuwa mumewe anamtishia na silaha.

Chinga alipigiwa simu na polisi akiwa kwenye mazishi ya kaka yake huko moshi Kilimanjaro Juu ya kwenda kuripoti kituoni.

Baada ya kurejea kutoka msibani Na kwenda kuripoti polisi Akiwa kituoni yalitokea mabishano kati yake yeye na Polisi na hivyo kuamua Kunywa sumu akiwa kituoni na kufariki dunia akipelekwa kituo Cha Afya Murieti.
Mwili wa marehemu Chinga umesafirishwa kwenda kuzikwa kwao Machame mkoani Kilimanjaro.

Balozi wa mtaa huo ndugu Yahaya Abbasi amesema yeye hajawahi kuletewa Mashitaka yoyote kuhusiana na mgogoro wa kifamilia katika familia hiyo.

Mwenyekiti wa mtaa wa FFU BI Veronica Guta Amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo hilo katika mtaa wake.
Amekunywa Sumu au Amenyweshwa Sumu kwa Lazima??????
Yawezekana Polisi aliyehusika na Kesi ya huyo jamaa ni Mchepuko wa huyo Mwanamke, kwa hiyo amemlisha sumu huyo Mwanaume ili kusudi sasa wawe huru kwenye mahusiano yao na huyo Mwanamke Mjane. Na pia huenda ndiye aliyeanzisha uzi huu ili kufanya 'Spinning Propaganda' kwa lengo la kuwazuga watu ili wasifahamu chanzo halisi cha kifo cha huyo jamaa waliyemuua hapo Kituo cha Polisi.
 
Back
Top Bottom