polisi

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari, Kazimbaya Makwega ashikiliwa na Polisi, asafirishwa kutoka Mwanza hadi Dodoma

    Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea? === Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tato waunga mkono jeshi la polisi usalama kwa watalii

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ATC yahitimisha mafunzo kwa Wakaguzi wa Magari, waonyesha umahiri katika Teknolojia ya ukaguzi magari

    Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 ASFC ⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ 📆 20.02.2024 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼 Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  11. Songambele

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

    Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo. Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka aliyesalimisha silaha kanisani baada ya kuokoka

    Polisi mjini Meru wanamtafuta mtu aliyesalimisha bunduki kanisani baada ya kutubu dhambi na kueleza kwamba ameokoka. Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo imeandika kuwa jana Jumanne Februari 14, 2024 Polisi walipigwa na butwaa baada ya mchungaji Nathan Kirimi kufika katika Kituo cha Polisi cha...
  14. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17

    Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  18. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
Back
Top Bottom