Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,153
4,516
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani

Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa taifa.

Wao wazanzibari wanakuja bara kununua maeneo na kuishi wanafanya biashara kwa na kuswali kwa uhuru Je? sisi hatutakiwi kwenda kwao, kinachoendelea sasa kwenye huu muungano ni bomu linaloenda kulipuka muda mrefu ni swala la muda tu.
 
Bara sio nchi ya kikristo wala hamna huo umiliki labda wakati wa ukoloni ,wao hawataki basi kapambaneni nao .
 
Ndy kwanza Leo naingia zenji, Niko bububu hapa, sioni hata meza Wala harufu ya wali au ugali.
Uzuri bhan wakristo ni wasamaria kabisa wao hata wauwawe bado hawawezi inua mkono kupigana na hawa mafedhuli..
Mungu aendelee kuwapa uvumilivu wakati huu wanapo jaribiwa na mwovu Shetani..
 
Kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...

Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika

Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
 
Hizi dini bila elimu twafaaaa,kwani kufunga ni kutokuka chakula tu, kutokuka ni ishara ndogo sana katika mfungo.Mtu ana vidonda vya tumbo anafungaje? Naupenda uislam ila sipendi matendo ya waislam waliowengi.Wanatumia vitisho zaidi kuliko hata maandiko yalivyosema.
 
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani...
Zanzibar niwaabudu shetani, namba 666 ni uislamu, mpinga kristo ni Muhamad hebu jiulize, mbona si Wahindi, au wapagani ila ni Wakristo tu, utapata jibu, adui no 1 wa Ukristo ni Uislamu, mwenye masikio na asikie.
 
wabongo kama wangese fulani hivi...... kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 Tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni ma k nyoko nyie...
Huku ni kukiuka haki za binadamu Kuna watu wanavidonda vya tumbo iwe rasmi sasa serikali ya smz itangaze kuwa zanzibar ni nchi ya kidini jambo hili limeumiza wengi sana kitendo Cha polisi kukamata watu wasio na hatia
 
Muungano wa kijinga sana huu. Halafu sijui ni kwa nini tumeungana na watu wa hovyo kama hao.
Sisi wakristo na ambao wapagani wakitaka kwenda zanzibari hawana uhuru wa kuishi huku wao wamejaa hapa dar Wana uhuru wakumili ardhi na uhuru wa kuabudu bila buguza huu muungano hauna maisha marefu
 
wabongo kama wangese fulani hivi...... kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 Tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni ma k nyoko nyie...
mtu anakesha usiku kucha anakula kama mchwa na bado et akiona mtu mchana anakula eti amemtia majaribuni,. hii ni imani au ni upumbavu kama upumbavu mwingine tu?
 
hongereni sn zanzbr mazee fah....bakora kwa kafirii
Sasa wanakataza na kupiga watu wanaokula mchana huku usiku hao vijana wanaliwa tako? Hiyo ni akili kweli? Yaani unapambana na mtu asile ugali mbele yako mchana eti mwezi mmoja unafunga alafu jioni wakati wa kufuturu au baada ya kumaliza mfungo unaliwa wewe tako. Sasa hapo nani kafiri, mapumbavu kabisa.
 
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani

Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa taifa

Wao wazanzibari wanakuja bara kununua maeneo na kuishi wanafanya biashara kwa na kuswali kwa uhuru Je? sisi hatutakiwi kwenda kwao kinachoendelea sasa kwenye huu muungano ni bomu linaloenda kulipuka muda mrefu ni swala la muda tu
Wewe umefunga zako, unafanya ibada yako huyo anaekula mchana anakuhusu nini tena? Kwanza, ni lini Zanzibar ilitangazwa kuwa nchi ya Kiislam? Waacheni watu waamini kile wanachokiamini na wafanye kile wanachokiamini.

Mimi nijuavyo ni kwamba mtu ukiwa umefunga kisha akatokea mtu anakupa majaribu, unatakiwa uyashinde.hiyo ndiyo imani.

Waacheni wenzenu wawe huru kama wengine....msihukumu nanyi msije kuhukumiwa kwani Hakimu Mkuu ni Mungu pekee.
 
Back
Top Bottom