Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda.
Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu?
https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba
"Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu"
"nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024.
Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
Anonymous
Thread
askari
askari polisi
bila
igp
mpanda
mtaani
polisi
wananchi
Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani.
Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
TAARIFA KWA UMMA
Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
POLISI BIHALAMURO YAFUTURISHA WANANCHI, YAWAOMBA KUENDELEA KUCHUKIA UHALIFU.
Na Mwandiahi Wetu Jeshi la Polisi Bihalamuro Kagera.
Jeshi la Polisi Wilaya Bihalamuro Mkoani Kagera katika kuhakikisha wanaaendelea kuungana na Jamii katika Mwezi Mtukufu wa Radhamani April 07.04.2024 wameungana na...
Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi.
Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana.
Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi
Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja...
Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe.
Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea.
UJUZI.
Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi.
Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani.
Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar.
Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad
Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.