Jeshi la polisi Tanzania, Makonda anapaswa kuhojiwa!!

SALOK

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
3,318
1,936
Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.

"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -

@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi
 
Dah Bashite sasa anatia huruma sana. Mshaurini amfuate jiwe amuombe ulaji si kujisifia kijinga hadharani. Anajidhalilisha sana na kuithibitisha zero.
 
Yaani siku hizi jeshi la polisi linadharauliwa sana. Wakamhoji mtu anayelilia kunyweshwa uji wa baridi kisa kapewa wa moto? IGP Siro kuna mahali mnakosea. Haiwezekani mdharauliwe hivi.
Kama Ni Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Analia Si Unamzaba Kibao Ili Abugie Uji Vizuri 😀
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.

"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -

@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi
Anadhihilisha kuwa yeye ndio muuaji na mpoteza na mtekaji watu waliopotea hadi leo. Na wale walionekana sad mbwa koko kama huyo anamsunctionkamanda wapolisi wa kanda wakati hanacheo chochote kweli ni mpumbafu sana
 
Kama Ni Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Analia Si Unamzaba Kibao Ili Abugie Uji Vizuri 😀
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Labda kama ndugu zake wamelala. Hiyo nafasi hapati.
 
Kufuatia kauli hizi za aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Ndg. Paul Makonda Jeshi la Polisi linapaswa kumuita na kumhoji ni kwa namna gani yeye raia wa kawaida awe na uwezo zaidi kuliko vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi kuweza kumlinda Rais. Ambapo akaliomba Jeshi la polisi kutosita kumuomba kufanya hivyo iwapo watahitaji msaada huo.

"Ningekuwa ni Jeshini ninazo medali za kivita ni Askari mmoja aliyepo back bencher mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote, RC, Mambosasa mkihitaji uzoefu wangu ktk mapambano ya kumlinda MagufuliJP hata kama saa 9 usiku nitanyanyuka" -

@makonda_paul MakondaKukabidhiOfisi
Umelogwa?
 
Back
Top Bottom