Niliwahi andika miezi kadhaa,
....
Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian....
Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa kodi ya Wananchi akiwemo Mzee Ameir ambae hajawakosea jambo lolote kachukuliwa kwake wakampeleka...
Fugitive Malawian preacher turns himself in to police
Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa.
The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi.
Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu.
Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu, polisi, mkulima, Rais, waziri na yeyote yule.
==========
Mkuu wa Jeshi la polisi,(IGP Simon...
Habari za saizi,
Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza
Tuanze na mambo yafuatayo:
1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au...
Bishop, Rev Stephen Ng'anga who hosted the Deputy President William Ruto in Kenol Muranga county in October has died. According to the church leadership the Bishop died from Pneumonia.
The conditioned was triggered and worsened after the bishop inhaled tear gas fumes when the police were...
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA
Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao hawajajitambulisha.
Akizungumza na Gazeti ya Mwananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro...
Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba hifadhi
Ameendelea kudai kuwa alipigiwa simu na watu wawili siku ya Jumamosi ya tarehe 31/10/2020 na...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob.
Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi.
Mbowe amesema...
Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa tangu Juzi kwa ajili ya kuandaa maandamano ya amani ya kudai Uchaguzi mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili.
Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la 11 amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kuirejesha leo katika ofisi makao makuu...
Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika.
Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.
Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki.
Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.