Hili na polisi na tume kupiga kura siku moja kabla litaleta machafuko, kwanini wasipige kura siku ya uchaguzi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Naona kama vile amani ya kweli ccm na serikali wameichoka wanatafuta machafuko na vita vya ndani.

Ivi kura za kupigwa siku mbili tena vikianza vyombo vya ulinzi wana lengo gani?

1. Kujua imani ya jeshi na tume wako mlengo gani?
2. Kuchakachua kura kwa kisingizio kuwa za jana zilikuwa nyingi.
3. Kwa nini hazihesabiwi siku husika mpaka wakalale nazo ndio zihesabiwe?

Ivi ccm wameichoka amani ya nchi kwa ulafi wa madaraka?
 
Kuiba, dhurma na udanganyifu ni Tabia za ccm.......

Hakuna kupiga kura hapo ila ghilba tu.
 
Magufuli kama wewe ni kipenzi cha watanzania jipime Kwenye uchaguzi huu Kwa kutupa tume huru ya uchaguzi
 
Hilo sahau boss..si yeye tu kwa mwana CCM yeyote hatakubali maana wanajua wasipokua na dola uchafu wao mwingi utaanikwa na nchi itakua haitoshi.
Magufuli kama wewe ni kipenzi cha watanzania jipime Kwenye uchaguzi huu Kwa kutupa tume huru ya uchaguzi
 
Ukweli uxio pingika ccm inajua haipendwi hata kidogo xema wao wanategemea tume,polisi,na wakurugenzi na taka kuku hakikixhia hivyo vity vikikaa pembeni vikaangalia ccm axubuhi magu anarudi chato
 
Hii inaweza kutafsiriwa kama mbinu mpya ya kubebeshea masanduku ya kura zinazopigwa kabla. Naomba viongozi wetu watafute suluhisho lingine la upigaji kura kwa haya makundi kama kweli hawawezi kupiga siku ya uchaguzi katika maeneo wanayofanyia.
 
Hili likifanyika kura feki kama milioni 8 zitawekwa kwenye masanduku
 
Huu upuuzi mwingine tena umetolewa lini?!

Hii nchi imejaa uzinduzi wa matamko ya kipuuzi yanayotolewa kila siku.
 
Back
Top Bottom