polisi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao. Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi wamekuwa wakihamasisha wapiga kura walinde kura, kitendo ambacho amesema ni dalili ya kufanya fujo...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na viashiria vya uvunjifu wa amani

    Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani. Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika...
  3. JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
  5. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  6. JamiiForums Tanzania Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa ACT—Wazalendo ashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake. Ndugu Ado Shaibu natuhumiwa kutumia Kampeni zake kuhamasisha wakulima wa korosho kugomea Mfumo wa Stakabadhi Ghalani mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

    Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi. Endelea kubaki...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

    Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni. Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi. ===== Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  11. JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtu mmoja anaswa kwa tuhuma za ujambazi, wawili wauawa na Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha limewaua watuhumiwa wawili wa ujambazi eneo la kata ya Moshono jijini Arusha. Aidha, Kamanda wa jeshi hilo mkoa wa Arusha, Salum Hamdun amesema askari waliweka mtego na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la Bashiru Ally(45). Police in...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro, unasemaje kuhusu kauli hii ya SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi?

    Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Hebu tumsikilize... Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu mnasemaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

    Polisi wa kituo kidocho cha Mbarali Mr. Antipas Temu akiwa na Gari aina ya Nissan T809 AVW amevamia msafara wa mgombea Ubunge wa Chadema na kuanza kulipua mabomu. Kabla ya kuanza kurusha mabomu, Bw. Temu alijificha kichakani, naa Baada ya kitendo hicho, na kuona wananchi wananchi wanaanza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu jifunzeni kwa SSP Christopher Bageni

    SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho ktk mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo. Itz over. Hawezi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

    Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi ihakikishie vyama vya siasa kuwa utekwaji wa mawakala hautakuwepo na Tume iwahakikishie haita waengua bila kufuata sheria na taratibu

    Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama siri, sasa kama tume inafanya siri sisi wananchi tutaiamini au ni njama za upendeleo. mfano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

    Producer wa muziki s2kizzy ametoa taarifa kupitia ukulasa wake wa Instagram kuwa usiku wa kuamkia Leo amevamuwa na Hawa wanaoijiita ulinzi shirikishi na kufanyiwa fujo kwenye studio yake ikiwa pamoja na kuvunjiwa vifaa vyote vya studio.. Anaendelea .. tumevamiwa tumepigwa kuteswa Sana anadai...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

    Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne. Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine. Wanasheria...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…