polisi

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

    Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi. Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mikese na Askari polisi: Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili

    Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili. Tukio lilianzaje? Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli...
  3. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi mbaroni akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka minne

    Jeshi la polisi nchini Kenya linamshikilia askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne katika kijiji cha Komomange, Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kuria, Cleti Kimaiyo amekaririwa na Citizen TV akieleza kuwa afisa huyo...
  4. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

    Together TunawakilishaHome Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati...
  5. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

    Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania. Zaidi, Soma...
  6. Ukana Shilungo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hassan Elias Masala aliyeshinda kura za maoni na kukatwa Nachingwea mikononi Mwa Polisi

    Heshima kwenu. Huyu jamaa yupo kituo cha polisi toka 10:30 jioni . Kosa au maelezo anayochukuliwa ni la kutotimiza ahadi ya Bajaji kwa kwa Mzee Kambanga, ambaye alipata ajali na kukatwa Mguu 2015 akiwa anashangilia ushindi wa masala 2015. Mzee Kambanga alipata ajali wakati...
  7. MSATULAMBALI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

    Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania anapotoka. Hivi ya CCTV inamuonyesha mtuhumiwa akimpiga risasi Johnson na kuchukua maisha yake. Tukio...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

    Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake. Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu wapo kama ''Tokobetsu Koto Keisatsu'' ya Japan enzi hizo

    Miaka Mia iliyopita Japan walikuwa na Aina fulani ya polisi ambayo uanzishwaji wake ulikuwa na lengo zuri kuweka oda katika taifa lakini wakaja kutumika vibaya na ufalme wa Japan. Hawa polisi walifanya Mambo ya kichimvi Sana kule Japan kazi Yao ilikuwa hii hii Kama ya Hawa tanpol yetu kudhibiti...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania "Msininyanyase, mimi si mpinzani," kada wa CCM awaasa Jeshi la Polisi

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano wakilalamikia uteuzi wa wagombea wao. Bila shaka angekuwa mpinzani hicho kipigo ambacho angekipata...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Polisi wa Morogoro

    PONGEZI KWA POLISI WA MOROGORO. Na, Robert Heriel Jana nimefurahishwa na kile nilichokiona pale Morogoro, Polisi wa Morogoro Mungu awabariki sana. Jana Lissu alikuwa akikatiza maeneo ya Morogoro Mijini akielekea Iringa, kwa kazi ya kutafuta Wadhamini. Nilifurahishwa na namna polisi...
  14. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Walioshtakiwa kuua askari waachiwa huru

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewaachia huru washtakiwa 11 waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kuua kwa kukusudia askari wawili wa Jeshi la Polisi na kukata sehemu za siri za mmoja wa askari hao katika mapigano yaliyotokea wakati wa kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Hifadhi ya Ranchi za Taifa...
  16. KIDUDU

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora iangaliwe

    Wakuu salaaam. Nimepita Tabora nikakaa kama wiki moja na nusu. Nimekuta changamoto kubwa ya Polisi wale wanaotembea na pikipiki maarufu kama tigo, wanakamata pikipiki kila sehemu hata kama imepaki, yaani wanatafuta makosa kama huna kabisa watakuuliza barakoa ipo wapi. imekuwa ni kwero kubwa...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

    Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake! "Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda" Kilichofuatia...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

    Habarini za Tarehe 14 hii ya leo wapendwa?. Kwa namna Jeshi la Polisi limetenda kumkamata Joseph Mbilinyi kule mbeya Katika mazingira ambayo wala hayakuhitajika kumkamata mgombea huyo wa ubunge aliyeenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge baada Ya kupitishwa na chama chake Mitazamo kadhaa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Joseph Mbilinyi (SUGU) kwa tuhuma za kuratibu maandamano kinyume cha Sheria, tukio hilo limetokea leo alipokuwa anachukua fomu ya kuwania tiketi ya Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kupitia tiketi ya chama chake cha Chadema. Sugu amekamatwa pamoja na...
  20. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejaribu kuichokoza polisi, mkaona haichokezeki. Mumeona isiwe shida mkajichomea kabanda kenu Arusha

    Taarifa zilizosambaa leo asubuhi ni Ofisi ya Chadema Arusha kuchomwa moto. Nimepitia mijadala mbalimbali kwenye kurasa tofauti za mitandaoni ya kijamii. Nimeona nije hapa baada ya kuona Twitter ya Mh Mdee aliyewahi kuwa Mbunge wa Kawe tena mwanasheria kuhusisha jambo Hilo na CCM. Mimi ni...
Back
Top Bottom