Kwenye jeshi la polisi kuna kitengo kinaitwa criminal investigation department kwa kimombo lakini kwa kiswahili wanaita kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai.
Swali langu ni kwa nini tafsiri ya investigation inakua upelelezi badala ya uchunguzi? Neno upelelezi limekaa kishambega, kiumbea...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi Wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki mitambo ya kutengeneza gongo.
Mghwira ameeleza hayo jana Jumatatu Februari 22, 2021 wakati akizungumza na wafanyabiashara pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali...
Habari za muda huu jamiiforums.
Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki?
Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana.
Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
Nimesikia tetesi kutoka kwa rafiki wa karibu kuwa serikali inakusudia kujenga kituo kingine cha polisi kwa kushirikisha nguvu za wananchi katika Kata ya Kihonda, ni jambo jema na zuri, binafsi ningeshauri kituo hicho kijengwe karibu na stesheni ya mwendokasi badala ya kwenda kulijenga eneo la...
Taifa zima lipaze sauti mpaka wanaofanya uonevu waone aibu.
Kuanzia Masheikh, Maaskofu na Wachungaji, Wafugaji na Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi. Kesho kwa pamoja tupaze sauti kubwa Mtanzania mwenzetu mpenda haki aachiwe tena akiwa mzima wa afya.
Kuandaa maandamano ya hiari kudai...
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
Polisi wa Uganda wamemkamata Mwanaume mmoja Barabara ya Kampala baada ya kukutwa akiichapa viboko sanamu akidai sanamu hiyo inafanana na Mtu ambae amehusika kuvuruga Uchaguzi wa Uganda na anastahili adhabu kwa makosa aliyoyafanya.
Polisi nchini Uganda Jumatatu waliwakamata wanaume wawili...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu jamiiforums.
Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi?
31 AUGUST 2020: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania SACP David Misime, aliwahi kusema kuwa...
Salaam wakuu,
Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Kwanza kabisa ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno machache ya waziri wa mambo ya nje mzee wetu professor Palamagamba Kabudi. Pia kabla ya yote ikumbukwe ninaandika haya nikiwa sina "vested interest" undugu, ujamaa wala urafiki na...
Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto.
Baada ya kumkuta mama na mtoto akatishia kuita polisi kwa uzembe wa mama wa mtoto kuacha mtoto peke...
Mchungaji Kimaro ameliomba radhi jeshi la polisi baada ya kutoa taarifa zisizo sahihi kufuatia kifo cha muimba kwaya wa Kanisa hilo.
Kimaro amesema muimba kwaya huyo aitwaye Yusuph aliyekuwa anauza chips pale makumbusho alimdanganya kuwa alitekwa lakini polisi wamebaini kuwa Yusuph hakuwai...
Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti.
Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza.
Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake kwa kushrikiana na Maaskofu njaa , eti umri wake ulikosewa ! baadaye akaamua kuondoa vifungu vya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limeripoti kutokea kwa makosa ya jinai 1,791 mpaka kufikia Desemba 2020 ikilinganishwa na makosa 2,189 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana.
Ripoti hiyo imetolewa leo Desemba 29, na Kamanda wa polisi mkoani humo, Wankyo Nyigesa alipokuwa akizungumza...
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.