picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Picha : Joseph Haule(Profesa J) akiendelea na kampeni kata ya Ruaha

    Hapa ni kwenye kijiji cha Kifinga Kata ya Ruaha, akiwakilisha chama chake mbele ya Wananchi.
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Gari yaibwa Afrika ya Kusini na kupatikana baada ya masaa matatu ikiwa kwenye hali hii

  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Picha za kampeni za CHADEMA, Nkasi Kaskazini

    Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye vituo vya kupigia kura
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

    Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi. Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi. Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini kitambulisho cha ujasiriamali hakina risiti, jina, picha wala anuani?

    Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote. Kuna maswali ya msingi ya kuhoji na kutafakari. Kwa mfano; 1. Kwanini kitambulisho kiuzwe elfu 20, badala ya kutolewa bure? (Kama...
  7. JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hawaaminiki, tuwapime kwa ishu ya Korona tu tutapata picha

    Wanabodi, Sina lengo la kuishambulia CHADEMA ila Kuna mambo yananitatiza kuhusu kuaminika kwao. Sote tunajua timbwili walilolianzisha bungeni kuhusu korona mpaka kufikia kijikarantini kibabe. Wakati wenyewe wanajikaranti, wapiga kura wao walikuwa wanapambana uraiani kutafuta mkate wao wa kila...
  9. JamiiForums Tanzania Utamu wa picha, macho yako

  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

    Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa? Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
  11. JamiiForums Tanzania Kampeni zimepamba moto kila mtu na mtazamo wake akiona picha ya mgombea

  12. JamiiForums Tanzania Taratibu za kisheria zikoje kubadili gari langu kuwa na picha za Wagombea kama bango la kampeni?

    Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

    Najaribu kuwaza jinsi hali ya siasa ingekuwaje bila uwepo wa Tundu Lissu. Nafikiria jinsi Mgombea mwingine angenyanyaswa, wananchi kutishwa huku hakuna msaada wa Amsterdam, kweli kampeni zingepigwa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

    Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

    Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kutobandika picha za Tundu Lissu ni kosa la kiufundi

    Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi. Niseme kwamba kampeni hizi za mwaka huu ni za kipekee. Ziko tofauti sana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wakienda nchi zilizoendelea hupiga picha maeneo ya kuvutia tu na si vingine

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

    Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji. Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Lissu imekaa kiutawala zaidi 'tuseme RAIS'

    Hii picha inanifikirisha kiutawala zaidi kutokana na appearance ya mh president tobe. Iangalie na utafakari kwa mbali, 'zoom'
  20. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

    Watu wana miminika barabarani kama nzige. kumlaki Mkombozi nasikia Singida wamejiapisha KUVUNJA REKODI. Dakika chache zilizo pita Moshi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…