PICHA: Republican waanza kuabudu sanamu ya dhahabu ya Trump

Status
Not open for further replies.

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,194
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.

Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.

Nawasilisha.

IMG_20210302_094912.jpg



===

Fact check: Picha aliyoweka mtoa mada haihusiki na kuabudiwa
 
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.

Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump.

Nawasilisha.

View attachment 1715271
Ndio maana Watanzania tunadharaulika kwa kuwa simple minded. Hiyo picha ni Photoshop.

Ungekuwa unajua kidogo walau waliopo kwenye picha na kutumia chembe ya ubongo wako usingewapaka matope bure.

Chukua na hii kapige photoshop halafu useme Trump amekuwa mungu kabisa ili ufurahie zaidi

pastors-praying-trump.jpg
 
Ikiwa unataka imani yako iheshimiwe heshimu kwanza imani za watu wengine.
Mimi sijazalau imani ya mtu mwingine,najalibu kulinganisha hivi vitu Kwa kizazi cha sasa hivi je vinauhalali wa kuwepo,au kutumika,inawezekana watu wengi wamechoshwa na hayo mambo ya sanamu lakini hawana pa kusemea
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom