picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya matumizi ya picha na icon fonts wakati kusanidi project zetu

    Kwa wale mnaoendelea kutumia picha kuwa kama icons inatosha sasa, kwa wale wanaotumia icon fonts mjitahidi kufanya ntakayoeleza!. Hakika inasumbumbua na italeta shida kwenye project yako, endapo utaendelea kutumia picha halisi kuwa kama icons, wengi hutumia picha kwa kuwa walikosa icons kadhaa...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio unagundua wanasiasa wanatuona sisi ni Wehu sana hasa kipindi hiki cha wao kutaka "Kula"

    Salma Kikwete akiwa katika harakati za kuigiza ili apewe "Kula" ni kwa nini wanasiasa wa Africa au Tanzania wanatuona sisi ni mafala sana? Wehu? Ni mambo haya kweli yanayotufanya tuwachague hawa wawe viongozi wetu?
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy aahidi kumuonesha Mwana FA vichochoro vya Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika kampeni mkoani Tanga Katika kampeni hiyo, Ummy ameahidi kushirikiana na Mwana FA kumuonesha kote kwa...
  4. Ubuntuwize

    JamiiForums Tanzania Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
  6. rumplelstiltskin

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mifumo yetu ya Elimu

    Hii picha hapa inaelezea mifumo yetu ya elimu watakao ielewa comment hapo
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2020 Morogoro: Devotha Minja amewasilisha fomu bila picha kitendo kinachomnyima sifa ya kuwa Mgombea

    Wakati tunalaumu Tume ya Uchaguzi kuna makosa ambayo yanaepukika kama hili la Devota Minja ni makosa ya Kitoto yanayofanywa na aliyekua Mbunge. CHADEMA mchunguzeni huyu kuna viashiria vya Rushwa iliyopelekea kujaza Form hovyo pasipo kuambatanisha viambatanisho muhimu kama Picha. Unaenda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nani ashawahi kukisoma hiki kitabu cha picha za kiswahili kinaitwa HATIA? Tukumbushane

    Ni kitabu cha hadithi kimeandikwa kwa kiswahili, jina la hicho kitabu cha hadithi kinaitwa "HATIA"..actually hicho kitabu cha hadithi kiko kwenye mfumo wa picha za katuni za watu, zilizochorwa vizuri wakiongea Atakaeniambia jinsi story ya hii hadithi ya HATIA ilivyo na jinsi ilivoisha, ntajua...
  10. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, nashauri mboreshe App ya CHADEMA DIGITAL, kwani function ya uploading ya saini na picha haifanyi kazi

    Ujumbe huu uwafikie kitengo cha IT cha CHADEMA. Kama nilivyoandika siku najiunga na JamiiForums ni kuwa navutiwa na chama chenu, pia mgombea wenu kwa sababu ya sera zenu za kiliberali zinazohimiza uhuru wa fikra, ubunifu, haki za binadamu, demokrasia, diplomasia, biashara na soko huria, na...
  11. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

    Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family. Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti? Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mama atumia picha ya binti yake kuwasiliana na wanaume mtandaoni

    Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha. Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata...
  13. Asili100

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

    Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au? Wajuzi naombeni msaada Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa...
  14. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Kwa picha ya kiroho, Ilikuwa lazima tukio la jana litokee uwanja wa uhuru. Mungu anazidi kupeleka ujumbe kwa CCM

    Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana. Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961. Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Henry J. Manyama mmoja wa vijana walionekana kumpinga Tundu Lissu wilaya ya Hai

    Huyu ni mzaliwa wa Bukombe na Mkazi wa Mwanza, alipata mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa Kigoma na baadaye kuajiriwa serikalini Mwaka 2017. Kituo Cha kazi ni Dodoma, hana makazi Hai, anaonekana kwenye clip akiwa nyuma ya mwongoza maandamano. Sambamba naye yupo sister Blandina Lucian Kalinzi...
  16. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Picha 35623, kwenye simu. Zote unafanyia nini?

    Umefika wakati sasa ndugu zangu tuanze kufahamu matumizi sahihi ya simu, Iweje leo mtu unakuwa na picha nyingi kwenye simu kiasi hiki? Hiyo sasa simu au Camera cha kusikitisha sasa hizo picha zote hakuna jipya. Tubadilike jamani Dunia inatuacha hii, simu km hiyo ikiibiwa sijui itakuwaje.
  17. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Tshet zenye picha

    Wakuu salama Naitaji Tshet zile ambazo zinakuwa picha ya mhusika, Mfano inaweza kuwa ni picha yangu au picha ya anything I want So mtu yoyote anaehusika na mambo ya tishert printing anidm
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukimwangalia mtoto kwa makini huwa unapata picha gani?

    Kila nikimwangalia mtoto mchanga huwa napata picha fulani ya Kiungu. Ni picha ya ajabu. Mfano, nikimwona mtoto ana mzazi au mlezi wake huwa napenda kuona ana'behave' namna gani. Unaweza kumwona mtoto mchanga amebebwa na mama yake na amelala usingizi na hana habari ya kinachoendelea karibu naye...
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

    Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
  20. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kuedit picha

    Wanapendelea kuedit picha kule fb baba lao huyu apa mwamba Akiwa na avengers Akiwa na fast and Furious 7 Vip na hapa Akiwa na Harry Potter
Back
Top Bottom