picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Picha hii inafikirisha, siamini kama tulifika huku!

    Wadau si nia yangu kuhamasisha visasi kwa kukumbusha yaliyopita. Tusitazame nyuma kwa hasira, bali kwa uoga. Tujihadhali tusirudi huko. Ili kutafakari vizuri na kuepuka kumbukumbu kama hii, kuna maswali ya kujiuliza: 1. Mwenye Magwanda ya CDM ni nani? 2. Aliwakosea nini hawa CCM? 3. Hawa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa akiwa na familia yake

    Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
  3. JamiiForums Tanzania Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

    Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
  4. JamiiForums Tanzania Kajala na Harmonize wameachana? Kajala afuta picha za Harmonize Instagram na kumu–unfollow

    Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya viashiria vya mazingira vilivyojitokeza. Taarifa hiyo imekuja baada ya Kajala Masanja kufuta picha zote...
  5. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa trafiki kula rushwa (picha)

    Pichani ni kaka mtanashati anayejifanya muuza magazeti, hapa ni mataa ya Morocco (Kinondoni) daladala zinazotoka maeneo ya Shoppers/Kawe/Msasani zinasimamishwa na Askari kisha kondakta anashuka na kumalizana na na huyo kaka muuza magazeti. Mheshimiwa alisema watoa taarifa tutalindwa hivyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kanuni za maadili kwa wapiga picha za magazeti

    Muongozo uliotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu kanuni za maadili kwa wanataaluma wa habari zinaeleza kanuni za maadili kwa Mpiga picha za magazeti kama ifuatavyo:- Wapiga picha wa magazeti wanatakiwa kutoa picha zinazoonesha usahihi wa hali ya tukio husika. Wawe makini wakati...
  7. JamiiForums Tanzania BAS UTEREIJK: Fundi wa picha aliyetengeza picha ya Yesu na Pharaoh

    Wasalaam Kuzaliwa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ,mara nyingi tunasahau jinsi mambo tofauti yalivyokuwa kabla yetu. Watu wangeweza kujua tu mtu anaonekanaje kulingana na mtazamo wa msanii (mchoraji) au zile picha za black and white Licha ya juhudi za wasanii...
  8. JamiiForums Tanzania Bashiru Ally kuondolewa ikulu kama katibu kiongozi kunatupa picha gani? Wahafidhina hawakufurahia uteuzi wake?

    Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu. Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje. Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ile picha fisi kabeba mzoga was fisi!

    Nimeikumbuka hii picha ,mwenye nayo tafadhali!
  10. JamiiForums Tanzania Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

    Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
  11. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha picha ya waasisi wa TANU 1954

    KITENDAWILI CHA PICHA YA WAASISI WA TANU 7 JULAI, 1954: "NOW YOU SEE HIM NOW YOU DONT" Nimepokea ujumbe huo hapo chini: Asalam Aleikum Warahmatullah Wabarkatuh, Poleni kwa msiba, wanasema hiyo picha ya waanzilishi wa TANU imewekwa CCM kama ulivyoshauri, ni kweli, imewekwa wapi, Chamwino au...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli RAS wa Lindi ametoa kauli picha za Magufuli ziondolewe ofisini?

    Habari hii nimeikuta mahali. Kwamba RAS wa mkoa wa Lindi ametoa tamko kwamba picha za Magufuli ziondolewe kwenye ofisi zote za serikali mkoani Lindi.. Mwisho wa enzi unapo fika. # lesson to catch: every thing under the sun is just temporaly., including wewe...
  13. JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
  14. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

    Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya sana sijui kwa faida ya nani, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli! Tu assume jamaa alipitiwa labda hakusikia vizuri, lakini je; aliyatoa wapi Yale maneno aliyotuongopea?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wale Wataalam wa Picha Ipe Maelezo Picha

    Kwa wale wasomaji wa picha, ipe maelezo picha hii
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  17. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

  18. JamiiForums Tanzania Mpiga picha wa Rayvanny: Kutoka kubeba mabegi mpaka kuwa msimamizi wa lebo ya Next level (+ Video)

    Huu mzima? Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia nafasi yake kwenye labo mpya ya Next Level Music Mzava ameelza kuwa yeye chochote atakachoagizwa na...
  19. JamiiForums Tanzania PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

    Kupitia picha hizi hapa chini, nimejiuliza mara mbili tatu je, ni wapi makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki kama picha zinavyojieleza?
  20. JamiiForums Tanzania Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao. Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…