Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,349
2,000
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,085
2,000
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,163
2,000
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Isijekuwa umeangalia YouTubers halafu unasema raia wengi wa Africa Magharibi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom