pesa

  1. JamiiForums Tanzania Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  2. JamiiForums Tanzania Siyo watu hawana pesa, sema sina pesa

    Unalalamika na kujifariji hapo hapo wenzio wanaagiza tu.
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayeijua Internet Pesa je ni halali na salama?

    Nawasalimu, Naomba kwa wanaoijua hiyo Internet Pesa jamani waje. Kuna mtu anataka kuingia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

    Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

    Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa hazitoshi. The more you get the more desire

    Wakuu nimekubali baadhi yetu hatuwezi kuridhika 100% kwa tunachokipata. Kuna kipindi nilitamani sana kama ningekuwa japokuwa na ka-take home ka 800k na baada ya kufanikiwa kupata nikaona hapa bado sana.Sasa hivi nina 1.6m kama take home na bado naona nahitaji kupata zaidi.Yaani najiona choka...
  11. JamiiForums Tanzania Ikiwa Rais ndiye anatoa pesa zake kwa maendeleo ya nchi, Serikali inapeleka wapi kodi zetu?

    Tumesikia kila mdomo wa Waziri na viongozi waandamizi wanaposimama kuhutubia ama kuzungumza wanamshukuru Rais kwa kutoa hela ambazo zimwtekeleza miradi ya maendeleo na miundombinu. Hivyo wanatuaminisha kuwa fedha zote za miradi na maendeleo zinatolewa na rais. Na anayetoa hela hufanya hivyo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Serikali yetu imekosa kabisa ubunifu wa kuzuia ufujaji wa pesa za umma katika miradi ya kuboresha maisha ya watu maskini?

    Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
  13. JamiiForums Tanzania Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Navyoona ukristo haukuwahi kudhania kama dunia itakuja kufikia zama za sasa, leo hii inawezekana kabisa mwanaume alie marekani kusafirishia mbegu za kutunga mimba kwa mwanmke alie Tanzania. Pengine Mungu alikataza watoto wa nje kurithi mali huko dini nyingine kwa kujua tutafikia zama hizi za...
  14. JamiiForums Tanzania Tafuta pesa ila usisahau kuishi

    Tunatafuta pesa kila siku, tunazitafuta sana, wakati mwingine mpaka unajionea huruma, huwezi kupumzika kwa kuwa unahisi ukifanya hivyo unaweza kuloose sehemu fulani. Ndugu yangu, tuendelee kutafuta pesa ila tusisahu kuishi. Kuishi ni jambo jema sana, ninaposema kuishi ni kama kuupoza mwili...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa hawaombani pesa kama sisi wanaume ?.

    Kwetu wanaume ni suala la kawaida kabisa kusaidiana pesa japo inabidi uwe na hoja ya kuweka msisitizo kwamba una shida ama utairudisha. Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi
  16. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Gachagua: Tunajua China inatudai Pesa nyingi lakini tutakopa tena

    Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha miradi ya Barabara iliyokwama Ameongeza kuwa miradi mingi ilisimama kutokana na Wakandarasi kutolipwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

    Straight to the point. Ni hivi nimeamua kuuharibu mwili Ili nipate pesa kwanza mambo ya "afya ni uhai" kwangu niujinga tu. Sasa wakuu nahitaji kujua mambo manne yafuatayo. 1. Nataka kujua ni energy drink gani nzuri? 2. Nataka kujua nichanganye energy drink na kitu gani Ili nisichoke haraka...
  19. JamiiForums Tanzania Kusomesha mtoto kwa pesa nyingi halafu kuja kulalamika hakuna ajira( za kitumwa ) ni ujinga uliopitiliza

    Acha tuambizane ukweli kuhusu hali zilizopo ndani ya jamii zetu hata kama tusipopenda kusikia ukweli sawa tu. Huu mtindo wa wazazi wa kitanzania kusomesha watoto kwenye shule zenye kuhitaji pesa nyingi na kuacha za kawaida huku hali ya maisha ikiwa haisomeki ni wa kishamba. Mzazi anaye...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

    Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi nzima watakaa hapa kwa siku 14 Naomba kuuliza hizi gharama zakuwatunza hawa watu zinatoka wapi kula na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…