Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

Mzee wa kazi ngumu

Senior Member
Sep 28, 2023
148
469
Straight to the point. Ni hivi nimeamua kuuharibu mwili Ili nipate pesa kwanza mambo ya "afya ni uhai" kwangu niujinga tu. Sasa wakuu nahitaji kujua mambo manne yafuatayo.

1. Nataka kujua ni energy drink gani nzuri?

2. Nataka kujua nichanganye energy drink na kitu gani Ili nisichoke haraka.

3. Nataka kujua pia ni dawa gani aina ya pain Killer nayoweza kuitumia wakati nimeanza kuchoka Ili nikate maumivu na uchovu Ili nizidi kupiga kazi nzito zaidi.

4. Je naweza kuitumia painkiller na energy drink kwa wakati mmoja.

Wakuu sihitaji ushauri mwingine zaidi ya hayo mambo matatu niliyoyataja hapo juu.

NB:Kazi nayopiga ni ya zege tunapandisha ghorafa ya pili. Malipo ni makubwa na nina madeni kila Kona kwahiyo nilazima nifanye hii kazi Ili nilipe madeni ya watu niishi kwa amani na pia nikomboe vyeti vyangu vya maskuli.

Hii picha sio Mimi ila ni moja kati ya kazi zetu ngumu tu.

Screenshot_2023-10-05-10-18-13-82.jpg
 
1. Mo Energy. Very cheap. Effective.

2. Just Mo. Huna haja mix na kitu. Usinywe zaidi ya 3 kwa masaa 12 or less. Ila ukila vizuri itakua poa zaidi.

3. Usitumie PK.

4. Just don't.
 
Hongera mkuu,
"Kazi ngumu" ni kweli zinahitaji kujikana nafsi, kuamka asubuhi kwenda site kubeba zege kwa ujira wa 30k, kimtazamo juujuu utahisi hela ni nyingi ila ukiingia huko utajua ile ni hela ya machozi na damu.
 
Straight to the point. Ni hivi nimeamua kuuharibu mwili Ili nipate pesa kwanza mambo ya "afya ni uhai" kwangu niujinga tu. Sasa wakuu nahitaji kujua mambo manne yafuatayo.

1.Nataka kujua ni energy drink gani nzuri?

2. Nataka kujua nichanganye energy drink na kitu gani Ili nisichoke haraka.

3. Nataka kujua pia ni dawa gani aina ya pain Killer nayoweza kuitumia wakati nimeanza kuchoka Ili nikate maumivu na uchovu Ili nizidi kupiga kazi nzito zaidi.

4. Je naweza kuitumia painkiller na energy drink kwa wakati mmoja.

Wakuu sihitaji ushauri mwingine zaidi ya hayo mambo matatu niliyoyataja hapo juu.

NB:Kazi nayopiga ni ya zege tunapandisha ghorafa ya pili. Malipo ni makubwa na nina madeni kila Kona kwahiyo nilazima nifanye hii kazi Ili nilipe madeni ya watu niishi kwa amani na pia nikomboe vyeti vyangu vya maskuli.

Hii picha sio Mimi ila ni moja kati ya kazi zetu ngumu tu.
View attachment 2772465
Mungu akusaidie....
 
Uuu
Hii picha sio Mimi ila ni moja kati ya kazi zetu ngumu tu.
View attachment 2772465
Lipi madeni ya watu harafu achana hayo mavyeti ya maskuli hiyo hela bora uifanye mtaji
 
Siku shauri gharama utakazo zipata baadae kujitibu maradhi mbalimbali yanayosababishwa na matumizi ya hivyo vinywaji ni kubwa kuliko hayo madeni unayotaka kuyalipa, mwili una haki yake jaribu kuipa na kuusikiliza wewe ni nyama na mifupa sio vyuma, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika harakati zako za utafutaji
 
Don't do that shit homie

Hiyo Kazi ni ngumu yes I know lakin you can handle kupitia kula chakula kingi Aina ya wanga na maji kwa. Sana itafika time utazoea. Na Mwili utakaa sawa.

Ukianza kunywa energy utachoka haraka Sana na utaua Afya yako Mapema na Kupata magonjwa ya moyo

Zingatia maji na kula Sana utatoboa hata Kama zege unapeleka ghorofani ya tatu then you need to know upo hapo for a while and not ur whole lifetime.

Staya greatful madenj yatalipwa na hautakosa chakula , Afya ni zaidi ya kila kitu in this journey.
 
Kuna mzee furani amepatwa na tatizo kwenye ubongo , anatokwa na usaha Kwenye pua na hio inasemwa kua alikua anakosa usingizi kwa mda mrefu sana miaka ya nyuma.

Hivyo amepata madhara kwa namna hio Lakini ugonjwa unatibika, So guess what ! anapusha Land Cruiser Prado Tx hizi latest na yuko mbali. Usiogope Man Bora iwe kama hivi kuliko kupata cancer ya mapafu sababu ya shisha.
 
Back
Top Bottom