Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,930
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop mbili HP-Core i7-8th Gen) SSD STORAGE, nina WIRELESS KEYBORD & MOUSE plus KITI. bado sijanunua ni meza Tu cha kufanyia kazi ambayo mwezi ujao nataka kinunue meza pamoja na kufunga Unlimited internet ambayo itaniwezesha kufanya kazi zangu vizuri,

MAOMBI YANGU KWENU: natafuta kazi ambayo naweza kufanya online, / ni shughuli gani naweza kupata na kufanya kupitia workstation yangu iyo, yaani nataka nikiamka asubuhi ofisi yangu iwe iyo workstation yangu au ata kama nikienda kazini nikirudi naweza kufanya kazi nyingine online kupitia workstation yangu iyo, naombeni mawazo na ushauri wenu ndugu zangu kijana wenu mpambanaji mwenzenu na mungu awabariki sana.

772294-computer-workstation-desk.jpg
 
kazi nyingi za IT unafanya kwenye kompyuta tafuta inayokufaa,

pia kuna hizi craetive jobs;
-video editing
-motion design
-graphic design
-photo editing & retouching
-3D modelling

zipo nyingi, ila ujue itakuchukua mda sana kujifunza, watu wanasomea hivi vitu wewe usitegemee utaweza kuvifanya ndani ya miezi kadhaa

unaweza kua content creator, hii haisomewi ila ina mambo yake

nimekupa nnachojua, usiniulize maswali
 
shukrani kwa ushauri wako.
 
Inategemea na wewe unaujuzi gani wa kutumia computer. Kununua mashine kama hiyo sio guarantee ya wewe kuingiza kipato, kipato kinategemea na wewe una Skills gani.

Kazi za kukuingiza pesa ni nyingi kama alizoziandika huyo jamaa hapo juu. Na mimi naongezea.

1. Music producer
2. Podcasting (YouTube)
3. Web creation and designing
 
shukrani sana kwa ushauri wako.
 
kazi nyingi za IT unafanya kwenye kompyuta tafuta inayokufaa,

pia kuna hizi craetive jobs;
-video editing
-motion design
-graphic design
-photo editing & retouching
-3D modelling

zipo nyingi, ila ujue itakuchukua mda sana kujifunza, watu wanasomea hivi vitu wewe usitegemee utaweza kuvifanya ndani ya miezi kadhaa

unaweza kua content creator, hii haisomewi ila ina mambo yake

nimekupa nnachojua, usiniulize maswali
i'm interested too... Asante sana mkuu...
 
...inshort hapo mkuu umeshapata msosi... Ko ni kutafuna na kumeza tu...

labda unaweza niambia wewe umeplan kitu gani ili na mimi nichangie maana nahis ntakuwa nje na mada yako... Ofis ingekua nje na home ningechangia kdogo
 
...inshort hapo mkuu umeshapata msosi... Ko ni kutafuna na kumeza tu...

labda unaweza niambia wewe umeplan kitu gani ili na mimi nichangie maana nahis ntakuwa nje na mada yako... Ofis ingekua nje na home ningechangia kidogo
 
...inshort hapo mkuu umeshapata msosi... Ko ni kutafuna na kumeza tu...

labda unaweza niambia wewe umeplan kitu gani ili na mimi nichangie maana nahis ntakuwa nje na mada yako... Ofis ingekua nje na home ningechangia kidogo
 
...inshort hapo mkuu umeshapata msosi... Ko ni kutafuna na kumeza tu...

labda unaweza niambia wewe umeplan kitu gani ili na mimi nichangie maana nahis ntakuwa nje na mada yako... Ofis ingekua nje na home ningechangia kidogo
 
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop mbili HP-Core i7-8th Gen) SSD STORAGE, nina WIRELESS KEYBORD & MOUSE plus KITI. bado sijanunua ni meza Tu cha kufanyia kazi ambayo mwezi ujao nataka kinunue meza pamoja na kufunga Unlimited internet ambayo itaniwezesha kufanya kazi zangu vizuri,

MAOMBI YANGU KWENU: natafuta kazi ambayo naweza kufanya online, / ni shughuli gani naweza kupata na kufanya kupitia workstation yangu iyo, yaani nataka nikiamka asubuhi ofisi yangu iwe iyo workstation yangu au ata kama nikienda kazini nikirudi naweza kufanya kazi nyingine online kupitia workstation yangu iyo, naombeni mawazo na ushauri wenu ndugu zangu kijana wenu mpambanaji mwenzenu na mungu awabariki sana.

Mi naona tatizo hapo. Kama utashauriwa kuhusu IT, unayajua ya IT? Kama ni editing, unajua editing? Kama ni forex, unaijua? Muhimu weka vitu vinne hivi uvijuavyo vinavyohusiana na mitandao kisha usaidiwe mawazo kuchagua kipi
 
...inshort hapo mkuu umeshapata msosi... Ko ni kutafuna na kumeza tu...

labda unaweza niambia wewe umeplan kitu gani ili na mimi nichangie maana nahis ntakuwa nje na mada yako... Ofis ingekua nje na home ningechangia kidogo
niliplan kutafuta kazi online niwe nafanya japo ata nikipata dolla 15 au 20 kwa siku kwangu ni sawa.
 
kwa kazi za mitandaon ni vgumu maana umesema networking hauko vzur, apo cha kfanya tafta koneksheni town kwa vile mashine unazo hutapata tabu... Tafta companies au ofis za watu uwasaidie baadh ya kazi... Wanakuwa wanakulipa... Yaan utapga hela... Mfano unakuwa unasaidizana na ofis fulan either kuprint docs na pics... Kutuma na kupokea taarifa mbalimbal... Pia fanya kuuza movies utapat pesa... Inshort ukiwa na mashine usiogope kwenda maofisini ufanye kuorganize...
 
Back
Top Bottom