Afya ni mtaji lakini katika mazingira machafu pesa inakuwa mtaji wa kutafutia afya

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
281
284
Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wawe na vyoo bora, lakini wao kwenye ofisi zao binafsi ni chafu, sink limefubaa hata mhudumiwa anastaajabu.

Lakini leo, hiki ni choo cha Ofisi ya Kata Mshangano. Tazama picha hapa ndani, chooni na ofisi ipo pembeni. Serikali chukueni hatua.

IMG_20230927_153331.jpg
IMG_20230927_153356.jpg
 
Back
Top Bottom