Je, ni kweli kwamba pesa inaharibu mapenzi?

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,360
3,400
Habari zenu.

Moja kwa moja kweny point.

Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema;
Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti kidogo, nikaamua nifungue uzi ambao nitajaribu kueleza mambo kwa mtazamo wangu, kwa jinsi ninavoyaelewa.

Ninachokuomba tuu ndugu msomaji, please keep an open mind.

Je, ni kweli pesa ina haribu mapenzi?

Huwaga nikitafakari tatizo flani linalonikumba mm au linalokumba jamii yangu huwaga napendaga to go back in time, narudisha mawazo yangu nyuma hadi nifike kweny chimbuko halisi la tatizo.

Let's go back in time during the time where there was no electricity, no water supply, no supermarkets, no money.

Je, hivi ni kweli mwanamke kupenda hela ni "tatizo"?

Hapo zamani mwanaume na mwanamke waliisha kwa kupeana majukumu ambayo kila jinsia ilishahimili kulingana na maumbile yake na uwezo alioumbiwa nao.

Mwanaume toka zamani amejaaliwa ujasiri, nguvu, stamina na speed, hizi sifa zilimfanya mwanaume awe ni mtu ambaye kuwinda na kupata chakula kwake ilikuwa ni rahic, also kwa sababu ya hizo traits mwanaume alikuwa ni rahic sana kujilinda dhidi ya wanyama hatari.

Wanawake walikuwa wakilea na kufuga, wakikusanya mimea ili wale, wanawake hawakuumbwa na nguvu za asili kama wanaume, but also women since the beginning of mankind, they were born with good instincts, they could easily differentiate a bad guy from a good guy, they could easily tell if a man is lying, hii ilikuwa inawasaidia sana kujilinda na wanaume wabaya.

The psychological power that women had in the past and they still have till now is very advantageous, because they were born without strength.

Okay, Kwaio kuzaliwa bila nguvu, maisha ya wanawake yalikuwa yakimtegemea sana mwanaume either baba ake au mume wake.

Kwa hali iliyokuwepo wakati huo, mwanaume mwenye nguvu zaidi, stamina zaidi, speed zaidi na jasiri kuliko wote ndo aliyekuwa the most attractive kwa wanawake, kwa sababu mwanaume kama huyo alikuwa na uwezo wa kuwinda wanyama kwa ajili ya chakula, kulima eneo kubwa, pia na uwezo kumlinda mke wake na watoto dhidi ya wanyama, mwanaume aliyekuwa na uwezo wa kufanya haya yote kwa uwezo mkubwa ndio aliyekuwa na uwezo na kuwa na wanawake wengi na kuzaa watoto wengi.

Kwann wanawake walikuwa wanamkimbilia mwanaume mweny nguvu kama huyu?

There is only one answer Assurance for survival, mwanamke alijua akiishi na mwanaume mweny nguvu, hatapata shida ya chakula, hatapata wakati mgumu wa kujilinda na wanyama wakali na akizaa watoto na huyo mwanaume, bac watoto wake wataridhi good genes from their father, this was a win situation for women.

Back then, Strength=attractiveness.

Nowadays, Money=attractiveness

Kwann ipo hivi?

Je, mwanamke kabadilika?

Je, mwanaume kabadilika?

Hapana, mwanamke hajabadilika wala mwanaume hajabadilika, kilichobadilika ni dunia na system za maisha.

Back then, njia za kutafuta chakula au kipato ni tofauti na njia za sikuiz, because of development of technology, agriculture and business, lazima changes zitokee, and with the introduction of money ndo imebadilisha kabisa system za maisha.

Wanawake wa zamani, they were looking for Strength, wanawake wa sikuiz wanatafuta mwanaume mwenye hela, kwann?

Sababu ni ileile kama ilivokuwa hapo awali, Assurance for survival, maisha ya kipindi kile Strength was everything kwa mwanaume na kwa mwanamke kupata mwanaume mweny nguvu ndo ilikuwa jackpot yao.

Ila maisha ya sasaiv hela ndo kila kitu, bila hela huwez kufanya kitu chochote, mwanamke akisema hakuna mapenzi bila pesa mi naweza kumwelewa kwa sababu chukua mfano, kama huna pesa alaf mpenzi/mke wako akaumwa, wewe kama mwanaume uliyemtoa nyumbani kwao kwa baba ake, utampeleka hospitali na nn?

Sasa Kwann akae na ww wakati kuna mwanaume ana hela na huyo mwanamke akiumwa anaweza kumpeleka hospitali na kumlipia matibabu yake?

Tunakuja kweny point ileile Assurance for survival.

Wanawake sio kwamba wanapenda hela, they only want Assurance, sasa hio Assurance kwa ulimwengu wa sasaiv inakujaje bila hela?

Mwanamke kupenda hela sio tatizo, na kitendo cha mwanamke kupenda hela mi sidhani kama inaharibu mapenzi, its there way of fighting for survival.

If that's the case, bac hata wanawake wa zamani waliokuwa wanatafuta wanaume wenye nguvu wa kuishi nao, bac nao walikuwa wanafanya makosa.

Women are just looking for their assurance and that for her children.

Wanawake sio kwamba wanapenda hela, hii mentality tuifute kichwani mwetu, what women are looking for in men is Strength, both physical and mental strength, haya mambo kupenda hela yamekuja cause the world we are living right now, Strength has very little to do with acquiring wealth, but I still believe women are still looking for strength within a man.

Strength is the only thing that's attracts women to men, since the beginning of mankind.

Kwaio wanaume tuendelee kupambana tuu kutafuta pesa, but usisahau deep down what a woman is looking for in a man is strength, kwaio tunapoendelea kupambana we should not forget to acquire as much physical and mental strength as possible, because nature ya mwanamke na mwanaume haijabadilika.

It's me Your Friendly Narcissist

Nawasilisha.
 
mtazamo wake ni wa mtu anaechukulia mahusiano kama transaction, hayana formula
Dogo endelea kusema "Hayana formula"
Huwez pendwa bila sababu yeyote, lazima kutakuwa kuna kitu umependewa, hata ndege mfano aina ya bundi wana tabia flani ivi, bundi dume akimletea chakula bundi jike inakuwa kama zawadi, kwaio wakati bundi jike akiinama kula alicholetewa yule bundi dume ana mate nae.

Angalia hata relationship iliyopo kati yetu na mungu, mungu anasema humbariki anayempenda na anayeshika amri zake and vice versa.
This is universal.

Kokote uendako, huwez pendwa bila sababu ya msingi.
 
Dada angu Donatila alikua na concept nzuri kbs kaelezea kwa kifupi na vizuri ila nyie wengine wa kutegemea content za wengine ndo muishi nazo mnakuja kubwatuka hadi mnatoka katika dhana halisi ya muhusika
Wakubali au wakatae pesa imeharibu mapenzi...

Imechukua nafasi ya mapenzi...
 
Back
Top Bottom