pesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

    Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa. Time will tell.
  2. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa hauna pesa unadharaulika?

    Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyosomeka hapo juu. Hivi ni kwa nini mtu ukiwa huna pesa, yaani ninamaanisha ukiwa na maisha duni unadharaulika? Na hili utaliona kuanzia ngazi ya familia, jamii inayokuzunguka na muda mwingine hata kwenye nyumba za ibada. Ni kwa nini mtu kama huna kitu watu...
  4. chuki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

    Katika hali ya kushangaza Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza ameonekana Bunda Mjini akigawa pesa hadharani. Huku akiwa na mabaunsa, wapambe na wanakwaya wakimsindikiza Mwanza Huduma amepita Vijiwe vya Kahawa na Maegesho ya Magari na kugawa kati ya shilingi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Fedha: Jinsi ya kutengeneza pesa na kuendelea kuwa juu!

    Naandika thread hii kuwasaidia vijana walio wengi wanaokuwa wakihangaika kusaka the so called 'Utajiri' au kutaka kuwa na pesa na wanajikuta kila mara hawajui zimepotelea wapi. Kuna threads kadhaa humu JF. Natambua uwepo wa hii thread yenye kanuni 12 Kanuni 12 muhimu za kuzingatia kuhusu pesa -...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani ni kinara wa utakatishaji pesa, Jinsi wala rushwa wanavyoharibu demokrasia

    Marekani ndio kichaka kikubwa cha pesa chafu ulimwenguni. Hazina ya Mrekani inakadiria kuwa $ 300bn hutakatishwa kila mwaka, hii ni sehemu ndogo ya namba halisi. Mbaya zaidi, serikali haijui ni nani anayedhibiti kampuni ambazo hutakatsha pesa kwa sababu Marekani haina taasisi inayoshughulikia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuliwa pesa zetu na ama chochote kile ki masihara na wanawake, na wale waliowahi kula vya wanaume ki masikhara

    Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara..... Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali jiandaeni kopeni mapema kabla ya benki hazijakosa pesa

    Uchumi wa Dunia nzima unashuka. Kwa Tanzania utalii ni kama umesimama wote na watu karibu wote inabidi wasimamishe safari zake mpaka mwakani. Sasa Tanzania tunaingiza $2.5B kwa mwaka mmoja tujiulize pesa za miradi tutapata wapi. Ushauri wangu kwa muda mfupi Serikali ikope mapema kabla ya riba...
  9. Masanjaone

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

    Tangia mwaka 2015 nilianza utafiti ndani ya chama cha chadema baada ya kuwa chana kikuu cha upinzani bungeni. sababu za utafiti.... Nibaada ya Dr w.slaa kuamua kuondoka chadema kisa akiwa mh.E.N.Lowasa. misingi yangu ya utafiti ilizingatia mambo yafuatayo 1.kauri ya mh f.mbowe kuwa dr slaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  11. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu. Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma. Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango...
  12. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  13. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Pesa mwanaharamu, hakuna pesa halali duniani usidanganyike

    Acheni pesa iitwe pesa, kuna wakati pesa inaingia mfukoni mwako huku umeishiwa nguvu ukiwaza jinsi ulivyoipata. Hakuna kitu kilichojificha duniani na mbingini kama pesa. Mungu mwenyewe ukimtafuta kwa bidii unamuona ila pesa kuna watu wameanza kuitafuta ujanani mpaka uzeeni hawajaiona. Pesa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Vijana 11 wakamatwa kwa utapeli wa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu. Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania 'Mashangingi' ya Viongozi wa Taifa: Hili ni jini la kunyonya pesa za Wananchi

    Shangingi (VX-V8) moja jipya kwa gharama ya sasa ni Tsh milioni 250 (bila kodi) hapa bado gharama za uendeshaji na matengenezo. Wakati gharama ya ujenzi wa kituo cha afya complete ni kati ya Tshs milioni 400 - 700. Au gharama ya mashine moja MRI mpya kwa bei ya mwaka 2019 ni milioni 600. Ila...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kweli hali ya pesa ni ngumu

    Kuna kiwanja cha jirani yangu kiko wazi. Nilimuuliza malengo yake aliniambia kwa kweli tangu mzee wake aondoke duniani ramani yake haisomeki. Mzee alikua Don serikalini. Nilimgusia kama anaweza kuniuzia hiyo ilikua 2012 aliniambia nimpe milioni 60. Mume wangu aliniambia kwa bei hiyo achana...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tangu pesa kwa njia ya simu ianze kuna aliyepewa namba isiyo sahihi?

    Siku hizi watu wako makini katika kutoa namba za simu. Ukitoa namba yenye makosa unaweza kupishana na lorry la mshahara. Enzi zile mtu akikuomba namba kama hutaki juzoeana nae unatunga namba kichwani. Mambo yamebadilika unaweza kukosa Tigo pesa, sikuhizi unahakikisha amekupigia kabla hamjaachana.
  19. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kutunza pesa pia ni kipaji

    Wakuu ipo hivi kwa mtazamo wangu nashawishika kusema kwamba utunzaji wa pesa ni kipaji si bure nishawaza kila aina iman juu ya utunzaji pesa hatimaye nimefikia hitimisho hivyo. Nilishajitahidi sana na kujiapiza sana ila wapi yaani lazima tu itatokea kisanga cha kupelekea kutumia pesa...
  20. BASIASI

    JamiiForums Tanzania TFF yakiri kuwa Waamuzi wanadai pesa zao. Yasema wadhamini wanatoa pesa ndogo za malipo

    Shirikisho la Soka Tanzania TFF lakiri kudaiwa na waamuzi, lasema fedha inayohitajika kuwalipa waamuzi hao kwa msimu mmoja ni zaidi ya shilingi bilioni moja wakati fedha wanayoipata kutoka kwa wadhamini kwaajili ya malipo hayo ni takriban shilingi milioni 400 My take: Nilijua kuna kitu nyuma...
Back
Top Bottom