Mwanamke akikuomba pesa siku ya kwanza ya kukutana kwenu jua hakupendi

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,127
3,032
Nipo apa kuwatoa ujinga nyinyi wanaume mnaojifanya mna pesa yaan unakuta dume zima linajua na mwanamje first day denu anaanza njaa mara nina birthday.kuna mchango wa harusi .nimekopa nadaiwa nina shida ya sh fulani na mwanaume na akili timamu unatuma unajua anajuchukuliaje

JIBU : ANAKUONA BOYA NA HUJIELEWI

Mwanamke anapokuomba jua kakudharau na hana hofu ya kukupoteza hvo lolote litakalo tokea sawa tu leo unatuma na kesho unatuma tena kesho kutwa unamwambia NAKUPENDA anakujibu SIKUTAK

Akigundua kuwa unapesa nying ila akili hauna apa utapigwa mizinga ya maana ila papuchi atakupa ila akikuona fara sn hata papuch hakupi

Unampa pesa ya kusuka mwenzako anapendeza kisha anaenda kwa mwingine

NARUDIA TENA MWANAMKE ANAEKUPENDA HAWEZ KUKUOMBA PESA FIRST DAY
 
Tusipowapa sisi unafikiri Kuna malaika atakuja kuwapa hizo pesa..?
Wacha waombe tu uzuri wanacho ambacho hatuna..
Huu si muda wa kuwalalamikia wao wanaomba pesa bali tutawasaidiaje wao kutengeneza pesa ili waepuke kutuomba Sana fedha na kuzalilika utu wao!
 
Kutoa cjakataa lkn firstday yaan mnajuana apo apo ashaanza njaa
 
Back
Top Bottom