pesa

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  2. JamiiForums Tanzania Pesa za kichawi na kishirikina (Ndagu n.k)

    Najua wewe mwanajamii mwenzangu ushawahi kusimuliwa ama kusikia kuhusu fedha hizo, au mtu mwenye nazo, au uko nazo basi huu ni uzi wa kushare nasi visa hivyo. Mimi niliwahi kusikia tajiri mmoja hivi huwa analala chini, na ana noti ya tsh elfu kumi ambayo haitumiagi miaka nenda rudi ndo...
  3. JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa pesa ka

    Nimekuwa nafuatilia Gharama zinazotozwa kila nitoapo pesa katika ATM za NMB Pamoja na Gharama nyinginezo Kama zile za mwezi au mwaka. Nimeona Kuna maumivu makubwa saaana. Naona tunatozwa service charges katika akaunti moja maranyingi na kubwa mno. Kutoa pesa ATM chini ya laki tunatozwa 5400. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu simamia viongozi, wananchi wamechoka kuchangishwa pesa za madarasa kila mwaka

    Tundu Lissu alilaaniwa kwa kuzuia michango ya lazima kwa wananchi. Sasa kila mwaka kuna michango kwa ajili ya madarasa, ni ukweli kwamba michango hii ni ya lazima kwa wananchi. Sioni taabu sana, tatizo langu ni wasimamizi wa michango hiyo na matokeo duni. Kundi la viongozi katika wilaya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe pesa za kujikimu kwa Walimu wapya

    Serikali itoe pesa za kujikimu kwa walimu kwani mlolongo umekuwa mrefu sana haijulikani ni lini pesa hiyo itatolewa. Nakumbuka siku katibu mkuu tamisemi anatangaza halmashauri zitakazowapokea walimu ziwe zimejiandaaa katika mapokezi ya wafanyakazi hao wapya. Lakini cha ajabu karibia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Usioe haraka mwanamke anayependa pesa

    Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa. Kwanini Kwasababu baadaye atakusumbua Sana. Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi naamini wanadamu wanabadilika. Hivyo mpe muda huku ukitengeza modo ya kumzoeza kuishi bila kutegemea...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

    Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana. Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge. Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au...
  8. JamiiForums Tanzania TiGo nivushe mmeiba pesa yangu

    Habari ! Naitwa Nickson Kimambo naishi Morogoro mjini ni mtumiaji wa mtandao wa TIGO TANZANIA. no zangu ni 0717693927 Jana tarehe 26 december 2020 nilijiunga na kifurushi cha internet cha wiki kwa tsh 3000/- kwa njia ya tigo pesa, baada ya hapo nikaletewa sms kuwa kifurushi changu cha internet...
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu kuna haja ya kuwapa semina wanachama wenu kuhusu masuala ya pesa na maisha baada ya kustaafu?

    Kwakweli walimu wana tatizo kuhusu suala la pesa. Wengi hawajui masuala ya pesa na uwekezaji. Utapeli wowote wa kipesa lazima uwahusishe waalimu kwa wingi. Ila sijajua kama ni sababu ya wingi wao au wanapigika kirahisi? Vyovyote vile, kuna tatizo. CWT andaeni semina za kuwafundisha watu wenu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Krismasi ya leo ni tulivu haina mbwembwe wala madoido

    Nimeamini pesa ndio chanzo cha maovu yte duniani Sijawahi kuona CHRISTMAS tulivu kama ya leo. Christimas ya leo nitulivu haina mbwembwe wala madoido. Mitaa imejaa bodaboda wanaosubiri wateja. Ma- guest yapo wazi, mabaa yanapiga mziki kuita watu lkn ukiingia unakuta peupe. Leo makanisa...
  11. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi na pesa, money always win

    Kila zama na mambo yake...! Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya. Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu lazima ukiingia ndoani mwenza wako awe tajiri. Yaani automatic mke amkute mume tajiri..! Utaskia mdada...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  14. JamiiForums Tanzania Q NET yarudi kivingine sasa, itakua BF Suma. Watanzania hakuna pesa rahisi jamani, fanyeni kazi!

    Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa sikieni kuna hawa wengine wanaitwa "BF SUMA" mzigo ni ule ule wamebadilisha bega tu. NARUDIA...
  15. JamiiForums Tanzania Tafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi

    Habari wadau! Maisha sio fair, watu pia hawapo fair. Inabidi kutafuta pesa mpaka akifa mbwa wako watu wakupe salamu za pole na kukutumia rambirambi. Leo hii kuna watu walipata ajari kwenye gari moja au ndege moja na watu maarufu lakini vifo vyao havikutangazwa. Mwaka 2020 unaisha na mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
  17. JamiiForums Tanzania Nikiwa na shida kiukweli hua napata pesa kimaajabu,hii Ni nn?

    Nikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu..... Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu. Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI wakatazeni wanao tuchangisha pesa za ujenzi wa shule ndege mnazo panga kununua zinatosha watosha

    Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…