pesa

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Muziki kwa laki nne

    Niaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi. Si Mnajua Geto la Mwanaume halijakamilika Bila laptop na mziki fulani wa kiaina. Kwa wataalamu wa masuala ya mziki na gharama zake je naweza pata mziki gani unaoridhisha kwa hio pesa? Iwe Woofer au HT...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga SC, kwanini mnadanganya Saido ni injury? Mlipeni pesa za usajili

    Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar. Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo. Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar...
  4. JamiiForums Tanzania Ugunduzi wa vifungashio badala ya plastic ni fursa yenye pesa nyingi

    Umeshawaza maisha bila vifungashio vya plastic kwa 100%. Kuachana na plastic ni wazo zuri lakini tachukua muda mrefu kutekelezeka. Fikiria mfuko wa chips unaununua kutoka kwenye barafu, vifungashio visivyo vya plastic vinavyohimili barafu ni changamoto kwa watunza mazingira. Wachina wamebuni...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa ni vigumu kurudisha pesa uliyokopeshwa na mpenzi au mwanandoa?

    Wanajukwaa la MMU habarini za mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa. Binafsi huwa nikipata shida na kukopa pesa kwa marafiki huwa nipo faster Sana kurudisha mkopo, bora nipitie kipindi kigumu lakini pesa zirudi....kosa nikipitia niliyomkabidhi shemeji yenu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

    TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni ipi njia sahihi ya kuifanya pesa yangu benki iendelee kupanda thamani?

    Iko hivi:- Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai. Sasa maada yangu ipo hivi!: Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya miaka 30 itakuwa ni pesa ndogo kulingana na thamani ya shilingi yetu kuendelea kushuka hivyo waweza ona...
  8. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara au kilimo kwenye makaratasi ukisaidiwa na calculator, lakini kiuhalisia inaweza isewe hivyo

    Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache. Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu. Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unaumia ukiombwa pesa na Mpenzi wako akiwa na shida, Je, utafurahia akisaidiwa na 'baharia' mwingine?

    Ningependa kujua hili. Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu. Ni nini mtazamo wako?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ukijaaliwa karama ya uongozi ukapenda pesa utaishi kama wabunge 19 walioteuliwa na Ndugai

    Kila unapopewa nafasi yakutumika waangalie unaowatumikia. Yapo madhara yakumtumikia mtu katika kazi inayohitaji uwatumikie watu. Ukimtumikia mtu utaacha maslahi mapana ya watu kwa maslahi mapana ya mtu. Haya yanadhiirika kwa wabunge 19 walioteuliwa na spika kutoka chadema. Wakati wakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

    Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu mchanganyiko. Aisse biashara ilinikataa kabisa. Duka la milioni kadhaa mauzo elfu 20 per day. Mwisho wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kama huna pesa nyingi weka ndani, benki zinaiba kimya kimya

    Kwa uzoefu wangu wa kuwa na akaunti kwenye benki tofauti za hapa nchini na kujua vitimbi vyao nimegundua hii huduma ni kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa na makampuni yenye wahasibu wanaopitia kila mstari kila siku.Kinyume chake kama unategemea ujumbe kwenye simu utaibiwa vibaya sana. Akina...
  14. JamiiForums Tanzania TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni. Agosti 2012 Serikali ilizindua...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wewe unaweza kufanya chochote kwa ajili ya Pesa (Can you do anything for money?)

    Kiukweli binafsi ni mtu mgumu sana kwenye kufanya mambo ambayo kwa kawaida naweza kuyaona kama yanapingana na malezi yangu au yanahitaji ukengeufu fulani wa vitu ambavyo sijawahi kuona viko sawa. Jamii yetu iko tofauti sana, kuna watu as long as una pesa au madaraka basi zinahalisha jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa umakini haya magroup ambayo yanaanzishwa na Madaktari kutibia watu na kutoza pesa

    Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari. Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu

    Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa. Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya pesa. Hayo ni miongoni mwa mambo yanayowafanya baadhi ya wanawake waonekane ni viumbe maalum kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

    Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kuboresha maeneo ya kitalii kama haya kujiongezea pesa kuliko kuendelea kukamua walalahoi kwa vitu vidogo?

    Kwa sasa kilo moja ya ngano imefika 1500 na inakwenda juu, vivyo hivyo kwa sembe. Kuna jamaa mmoja kanipigia simu anadai bandarini huko wanakamuliwa sana ndio maana mitaani mambo yamebadilika. Tuna maeneo mengi sana ya kitalii yanaweza kuingizia serikali pesa nyingi tu,shida inakuja je haya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…