online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada! Kozi za kusoma online kwa hapa Tanzania

    Umuofia kwenu, Mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online. Kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake...
  2. JamiiForums Tanzania Kupata mkopo online kwa kutumia simu

    Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
  3. JamiiForums Tanzania Online Interview kwa post ya Business Development Officer

    Habari za kazi wakuu, Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online. Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kusajili TIN online bado ipo?

    Nawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa. Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako. Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp...
  5. JamiiForums Tanzania How to check form one selection online In Tanzania & Kenya

    In Tanzania students who complete their primary school (standard seven) and perform well in their PSLC NECTA exams are normally selected by TAMISEMI to join various secondary schools located in every ward all over the country to pursue their O-level education for four years. Whereas in Kenya...
  6. JamiiForums Tanzania Always online member

    .
  7. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Haiwezekani kuandaa mfumo kuhama wa tumishi wakubadilishana vituo wakafanya online transfer

    Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua wireless microphone kwa ajili ya online TB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji Wireless Mic ya kununua ya Bei nafuu kwaajili ya Online TV.
  9. JamiiForums Tanzania Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

    Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
  10. JamiiForums Tanzania Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Wasalaam Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea online. Kuna jamaa aliishiwa hadi akataka kurudi kwao kigoma kutoka Dar. Jamaa sio msomi Hata wa...
  11. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata hela kwa kuangalia video online?

    Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online. Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots status zikionyesha ameingiza hela kwa kuangalia video online nikamuuliza kweli unapata hela akasema...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

    Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
  13. JamiiForums Tanzania Msaaada Online streeming tv App

    Naitaji kuangalia mpira na baazi documentary tafadhari naomba msaaada wa app nitakayoweza kustream online tv
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania as a nation can deploy the following measures to combat the slow progress toward achieving a sustainable development

    Tanzania is a country that is geographically located in the eastern side of the African continent. It is bordering the Indian Ocean on the east, Kenya and Uganda on the north, Rwanda, Burundi and Democratic Republic of Congo on the west and Mozambique, Malawi, Zambia on the south. Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Simba: Kocha Gomez anasoma online course, tuna imani hadi mchezo wetu unachezwa atakuwa ameshamaliza masomo

    Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi. Gomes ana (UEFA A Diploma) na kwa mujibu wa kanuni za...
  16. JamiiForums Tanzania Bidhaa 9 zinazoongoza kununuliwa zaidi mitandaoni/online. Fanya uchaguzi sahihi

    Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi kuanzia form 1 - form 4 mnaweza kufanya online examination

    NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA. ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY. Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level with their own device, regardless of where they live. You only need a browser and an internet...
  18. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mabadiliko ya Kanuni za Sheria ya Maudhui ya Mtandao (2021) na Jamii Forums

    Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020. ============ ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS MAJOR...
  19. JamiiForums Tanzania Police online loss report hamna kitu, ni uozo mtupu

    Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved. Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved...
  20. JamiiForums Tanzania Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay. Natanguliza shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…