online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. Simeone

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, Jinsi gani ya kutuma online SMS

    Habari zenu wakuu, ni website gani nitumie kutuma sms/mms? natumia kitochi chenye browser ya opera mini. Msaada tafadhali!
  2. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TCRA: Utoaji wa Leseni za Maudhui Mtandaoni umesitishwa hadi Juni 30, 2021

    Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Mihayo akizungumza kwenye Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji wa leseni za Maudhui Mtandaoni kwa muda kuanzia...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji web au app,inayopokea sms online

    Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification! Thanks
  6. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa Online Masters degree

    Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
  7. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Huduma za Typing, Editing, Data entry, Graphic design, kwa online service Tucheki

    DIGITAL STATIONARY 1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA (Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu) (i). Barua (ii) Curriculum vitae (CV) (iii) Vitabu (iv) Majarida (v) Notes na Makala 2. KUHARIRI (editing) (i) Picha (ii) Curriculum vitae (CV)...
  8. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Online Content Regulations za TCRA

    Habari wa taalamu, Regulation iliyotolewa na TCRA kuhusu uhitaji wa leseni ya maudhui mtandaoni imesema ni kwa wale wanaotoa Predominant Content, ambayo si chini ya 85% kwa wiki. Hii ina maana gani? Naomba ufafanuzi zaidi kutoka kwa Wanasheria. Nimeambatanisha na sehemu inayotaja hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Best online shopping from Dubai

    Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla. Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Msaada kucheck TIN number yangu online

    Nime-misplace Leseni yangu sasa nataka nipate TIN bila kwenye ofisi za TRA Je, inawezekana?
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu online dating platforms

    Kuna siku nilikuwa nachat na mdada flani mwenye pesa zake, lakini ana ndoto za kuolewa na mzungu. Hivyo anatumia muda mwingi kwenye online dating platforms akitafuta bwana wa kizungu. Katika kuzungumza akawa amenitajia mtandao flani ambapo kila msg unayotuma inalipiwa. Akaniambia kuanzia mwaka...
  12. Mhdiwani

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ufugaji samaki online

    Habari wadau Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa . Kuanzia vipimo na idadi ya samaki inayotakiwa kwa urefu x upana x kina . Kujua formula ya chakula .jinsi ya kuweka vifaranga .jinsi ya kujua...
  13. JZHOELO

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  14. NicholeGuerrero

    JamiiForums Tanzania Application to watch sports TV channels online in Brazil

    Hello, If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs Do you know other good apps?
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

    Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani. Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Online yoyote inayohitaji mwandishi wa makala

    Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii. Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane. Asante.
  17. E

    JamiiForums Tanzania TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online

    TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online. Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania. Shida iko wapi.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hivi gazeti la mwananchi online lilipatwa na shida gani?

    Mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa gazeti la mwananchi online, siku hizi silioni maana nilikuwa nalipenda sana. Kilichokuwa kinanifurahisha kwenye hiyo web yao hasa ni mpangilio wa habari, kuweka habari kwa wepesi na uhakika zaidi. Makala nzurinzuri na kupatikana katika application ya...
  19. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo na Ushauri kuhusu Online Store

    Habari Wana JF, Natumai mko poa. Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new. Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Back
Top Bottom