Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,120
2,000
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.

Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama Vanny boy anauza sana hafaidiki moja kwa moja na mapato yote, hayo mapato ndio Diamond anatumia kulipa mishahara ya wafanyakazi coz mfano Wasafi fm haiingizi pesa za kutosha.

Pia Vanny boy na Zuchu wanatembelea kick ya master Platnumz, wakitaka wajipime waseme tunatoka kwa muajiri wetu WCB I mean Platnumz.

Harmonize na Mavoko kilichowatoa ni mgao wanaopata kwenye mauzo ya nyimbo zao ulikuwa mdogo mwingi ukienda kwenye kampuni.

Inawezekana Harmonize anauza kidogo kuliko Rayvanny lakini akawa ana kipato kikubwa kuliko Rayvanny kwa sababu Rayvanny ni muajiriwa wa Diamond na anapangiwa anachostahili kupata.
 
mwandiko11

Member
Feb 6, 2021
99
250
Mkuu ndio maana halisi ya maisha Rayvanny n mwajiriwa hivyo hawezi pewa kipato chote kinachopatikana kwenye Mauzo hata kwenye shoo ingali kabla ya kufanya iyo shoo au kuaanda izo nyimbo zinazoingia kwenye Platform kuna gharama zinatumika ss zinarudijee kwa mwajiri ndipo Rayvanny anapokatwa hela nakupewa anachostaili...
 
ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,120
2,000
Mkuu ndio maana halisi ya maisha rayvanny n mwajiriwa hvyo Hawezi pewa kipato chote kinachopatikana kwenye Mauzo hata kwenye shoo ingali kabla ya kufanya hyo shoo au kuaanda hzo nyimbo zinazoingia kwenye platform kuna gharama zinatumikaa ss zinarudijee kwa mwajiri ndipo rayvanny anapokatwa hela nakupewa anachostaili...
Sawa sawa nimekupata
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
819
1,000
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1

JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2

VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,253
2,000
Rekodi yake inabaki kuwa yake kisanaa maana nyimbo ni zake. Kuhusu mgawanyo wa mapato ni vitu vya kawaida katika record labels na usishangae akawa anaingiza pesa ndefu kuliko wale wasanii solo ambao wana ratings ndogo
 
ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,120
2,000
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1

JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2

VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Zuchu Ana stream nyingi lakini anachoingiza ni kidogo
 
screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,751
2,000
Baada ya kufatilia hili sakata linaloendelea kati ya Harmonize (KondeGang) na Rayvany (Wasafi) maoni yangu ni kwamba Wasafi wameshinda hii battle ingawa kwa jicho la kawaida unaweza usigundue.

Nachoona hapa Wasafi lengo lao Kubwa ni kuihamisha hii bifu ya Harmonize dhidi ya Diamond, na kuipeleka kwa Harmonize dhidi ya Rayvany kwakuwa waliona Diamond hanufaiki na bifu hilo, ila kwa Rayvanny itamsaidia kukua zaidi huku Harmonize akibaki palepale au kushuka. Kitendo cha Harmonize kushindanishwa na wasanii wakubwa kama Diamond au hata Kiba kilikuwa kinamuweka pazuri zaidi kuliko hivi ambavyo anashindana na Rayvanny mtu ambaye hata yeye anaamini anamzidi 'ukubwa'.

Nimeona kwenye interview Rayvanny anazungumzia kuhusu kumzidi Harmonize subscription, views na online sales; hakika hivyo hajavisema kwa bahati mbaya, hii ishu iko planned kabisa na management, na Diamond kajikausha kama hausiki ila usikute ndio masterplan wa mchezo mzima. Inshort walijua kile kitendo cha Ray kurelease video yake na Paula ni lazima konde atajichanganya tu, na kweli ikawa hivyo.

Sasa usishangae kutoona mashabiki wakimlinganisha Harmonize na Diamond, utaona wanamlinganisha na Rayvanny huku Diamond yuko bts anakula popcorn tu
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,635
2,000
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.

Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama Vanny boy anauza sana hafaidiki moja kwa moja na mapato yote, hayo mapato ndio Diamond anatumia kulipa mishahara ya wafanyakazi coz mfano Wasafi fm haiingizi pesa za kutosha.

Pia Vanny boy na Zuchu wanatembelea kick ya master Platnum, wakitaka wajipime waseme tunatoka kwa muajiri wetu WCB I mean Platnum.

Harmonize na Mavoko kilichowatoa ni mgao wanaopata kwenye mauzo ya nyimbo zao ulikuwa mdogo mwingi ukienda kwenye kampuni.

Inawezekana Harmonize anauza kidogo kuliko Rayvanny lakini akawa ana kipato kikubwa kuliko Rayvanny kwa sababu Rayvanny ni muajiriwa wa Diamond na anapangiwa anachostahili kupata.
Huwezi eti jipima kwa kuacha unapokula eti kisa kuwaonyesha mafans kuwa we ni wa moto hata ukiwa nje.
F.a alisema usifanye move bila plan B
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
16,035
2,000
Aisee ndo Mana nikashangaa rayvanny pesa za kupeleka watu Dubai kapata wapi wakati pesa anayolipwa na diamond c kubwa, kumbe kajala Ana sponsor tajiri

Mbona mnafanya kwenda dubai is big deal , visa wananunua $90 , return ticket kuanzia $250, ray vanny hawez kukosa hyo pesa aiseh , kuna nchi mtu ukienda lazima ushtuke ila sio Dubai , c bora hata Ommy dimpoz kidogo alitushtua kwenda IBiza, Dubai wanaenda had ma Housegurl
 
lazinga

Member
Oct 6, 2016
36
125
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1

JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2

VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?

Unazan hao wakisimama wenyewe kama harmonize wanaweza kufika hizo streams and download?
 
Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,609

Badala ya kuweka viewers wa Rayvan wewe unaleta viewer wa zuchu,kwani wanatifuana Konde boy na Zuchu au ni mtifuano wa Konde na Rayvan?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom