Zambia na Malawi wanatumia online forums ipi?

Teddy1

JF-Expert Member
May 4, 2021
213
201
Tanzania tunatumia jamiiforums, huko Zambia, Malawi, South Afrika, wanazo hizi locally hosted online forums?

Kama zipo ninaomba link nizione please.
 
Tanzania tunatumia jamiiforums, huko Zambia, Malawi, South Afrika, wanazo hizi locally hosted online forums?

Kama zipo ninaomba link nizione please.

Nakutajia lakini nyingi ni za love connect
 
Si kila nchi ina uwezo wa kutengeneza Forum kama JF,

South Africa wanayo forum ya My broadband nafkiri ndio kubwa kwao

Kwa zambia zinaongoza tu website za kubeti na za Serikali hakuna forum maarufu, malawi nimeona moja ila nayo pia si maarufu

Hivyo kuwa pata ni Insta na FB tu.
 
Kwa hiyo chief unamaanisha kutengeneza forum Ni kugumu Sana ?me nilikua nahisi Ni simple kama kutengeneza app au website
 
Kwa hiyo chief unamaanisha kutengeneza forum Ni kugumu Sana ?me nilikua nahisi Ni simple kama kutengeneza app au website
Kutengeneza ni rahisi sana, siku hizi kuna auto installer dakika 3 tu Una forum ama website yako.

Issue ni kuitangaza na kumshawishi mtu, forums nyingi kubwa duniani zinakuwa na wataalam walioanzisha ambao wapo vizuri Kwenye kitu fulani, hawa huvutia watu kujiunga. Alternative uwe Na Hela ya kutosha kufanya advertisement.
 
Hapa bongo kwenyewe kuna forum zaidi ya jf but hazijafunguka as jf...
 
Back
Top Bottom