ofisi

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  2. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  4. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke ofisi za Mkuu wa Wilaya pembeni ya Mji Mkongwe wa Mikindani, Mtwara

    Wakuu, Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Mfuatilie DC wa Wilaya ya Chunya

    DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi, Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Ofisi ya OCD Wilaya ya Kaliua

    SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amekiri kuwa Serikali katika mpango wake wa miaka 10 wa kujenga vituo vya Polisi ngazi ya Wilaya...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Uber

    Habari wakuu? Naitaji kufika ofisi za uber, kwa anejua naomba muongozo... mimi nipo Dar maeneo ya bunju
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited. Dkt. Kijaji amebainisha...
  9. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  10. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Habarini wakuu, Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada. Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara. Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge laishutumu Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kushindwa kuwalinda

    Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin. Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaishutumu Worldcoin kuingilia Faragha za Wakenya, Inataka Mahakama Kuingilia kati

    Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria. Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023. Tukio la wizi lilivyokuwa Dada mmoja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba Mzuri, kwa nini watu waache ofisi?

    Mheshimiwa sana DC wa Handeni ambaye alitokea upinzani anazurura kutetea mktaba mzuri na wenye maslahi kwa nchi,kwa nini? Viongozi wa serikali na Chama wangetulia na wakatekeleza Mkataba na kwa muda mfupi matokeo yataonekana na aibu yao wanaoupinga.
  16. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Uhamiaji makao Makuu hawajalipia huduma ya simu hivyo kuwapata haiwezekani na ofisi ya Zanzibar simu hawapokei

    Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
  17. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Kihenzile Achangia Milioni 10 Ujenzi Ofisi ya Kata Igowole

    MBUNGE DAVID KIHENZILE ACHANGIA MILIONI KUMI UJENZI WA OFISI YA KATA YA IGOWOLE- MUFINDI KUSINI Mbunge wa Mufindi Kusini David Kihenzile amefanya Kikao cha pamoja kilichojumuisha Viongozj wote wa Kata ya Igowole ikiwemo Wajumbe Mkutano Mkuu CCM Kata, Mabalozi, Vitongoji, Viongozi wa dini...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhida akabidhi Vifaa vya Ofisi Shule za Kijitoupele na Bububu

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Magharibi (UWT) amefanya ziara na ametembelea Shule ya Msingi Kijitoupele na Shule ya Sekondari Bububu kwaajili ya kugawa vifaa mbalimbali vya Ofisi katika shule hizo zilizopo Mfenesini. Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na viongozi mbalimbali...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yapiga bomu ofisi za ubalozi wa China, Ukraine

    Twende tu hivi hivi. China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said. The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows. Russia, which is...
Back
Top Bottom