ofisi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejuwa zilipo ofisi za UMATI kwa Dar

    Habari zenu, Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika kesho Asanteni
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukutana Mlimani City ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambazo ni kodi za watanzania ina maana hawana Ofisi mpaka wafanyie kikao Mlimani City?!!

    Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
  3. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Tazama ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni, "Hapa nimeridhika"

    Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo amefika kwenye Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni ''Kwa hapa kigamboni nimeridhika na Ujenzi wa Jengo hili chini ya TBA, Sehemu zingine nilizopita sijaridhishwa sana na TBA, Songwe nimemuagiza Mkuu wa Mkoa avunje Mikataba na TBA ila hapa kigamboni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ubadhilifu ndani ya hifadhi ya Ngorongoro

    Rais shikamoo. Hongera sana kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Taifa hili changa. Kwa kweli ndani miaka mine umeonyesha mabadiliko makubwa sana katika nchi yetu. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya njema ili utimizie ahadi zako zote ulizoplan kuzikamilisha. Pamoja na juhudi zako za dhati ila bado kuna...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa walioshinda bila kupingwa Serikali za Mitaa wanajulikana katika ofisi za CCM tu, wananchi hawawajui, wapite kila nyumba kujitambulisha

    Mamilioni ya wananchi hawawajui hawa walioshinda bila kupigiwa kura, wanafahamika kwa viongozi wa CCM tu. Nadhani ni busara walazimishwe kupita kila nyumba kusalimia na kujitambulisha.
  6. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

    Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

    Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inastahili pongezi kwa kufanikisha ujenzi wa jengo la kisasa la ofisi za makao makuu ya BAKWATA

    Wakati akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya CCM ndani ya miaka minne RC Makonda amelielezea pia jengo la makao makuu ya Bakwata. Mh Makonda amelielezea jinsi jengo hilo litakavyokuwa la kisasa kabisa na namna alivyopendekeza ofisi ya mufti iweje. Kwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo atinga ofisi za IMF Washington DC

    Taarifa zinaonyesha kwamba amekutana na Mkurugenzi wa IMF Kristalina Giorgieva , ambapo mazungumzo yao yalijikita katika kuwasaidia vijana wa Kitanzania ili kuangalia uwezekano wa kuboresha mazingira ya kufanya biashara . Kwa niaba ya Wafanyabiashara vijana wa kimataifa naipongeza sana hatua...
  10. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la RUSHWA kwenye ofisi za NIDA wahusika wanajua?

    Kuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu. Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha...
  11. moshi norbert

    JamiiForums Tanzania Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
  12. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Ofisi Maalum ya Serekali Ambayo Huchapisha Ripoti za bajeti Ilivyotumika !?

    Mara nyingi hua naisikiza na Kuisoma Hotuba ya Wizara ya Fedha, lakini hua nashindwa kuchambua haswa vipi pesa zitatumika, manake katika ile hotuba hua ni wizara kadhaa tu zinatajwa na kutangazwa kama zimepewa pesa ngapi lakini hata hawasemi hizo pesa zitatumika kufanya nini haswa. Yani hua sina...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mvomero: Ofisi ya kijiji cha Mlali yachomwa moto, vitu vyote ndani vyateketea

    Wilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea. Watu wasiojulikana, wameichoma moto Ofisi ya Kijiji Cha Mlali kilichopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 11...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

    Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani. ======== Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira, amesema watu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo, kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi ya Kata ya Soweto iliyopo Moshi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Bunge kuendeshwa kidigitali

    Kuanzia leo vikao vya Bunge vitaendeshwa kidigitalii. Hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kununua makaratasi. Kwa wale ambao hawajazoea matumizi ya kidigitali msione aibu kujifunza. Kitu kipya lazima mtu ujifunze.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

    Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa . Kila la heri Profesa Assad ****** Prof. Assad: "Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili. Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa...
  18. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti na Mkurugenzi NEC, Wakurugenzi wa Wilaya (wasimamizi) kuzikimbia ofisi zao 2020

    Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika"
  19. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Ili kuepusha vurugu Jaffo tangaza kuwa watendaji waliokimbia ofisi na kujificha wamejifukuza kazi

    Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Jambazi sugu ajisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa na risasi za Polisi

    Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa. Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
Back
Top Bottom