Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani .
Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya
Jumapili njema
Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960
Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960.
Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii itanikumbusha mengi.
Kweli na hakika picha hii imenirudisha nyuma sana na imenikumbusha mbali katika...
Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali.
Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii?
Je, umeme huo...
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.
Vigezo
awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.
awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.
asiwe mtu wa hasira au dharau.
awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini.
Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊
Natanguliza Shukrani
Chakorii 🤸♀️🤸♀️
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.
Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.
UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
Walinzi wote wa Tundu Lissu
Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
Mzee Hashim...
asubuhi
bango
chadema
karatu
kesho
kufungwa
kukamatwa
lissu
nchi
nchi nzima
ofisi
picha
polisi
tamko
tanzania
tundu
tundu lissu
unyama
viongozi
wengine
Wakuu,
Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,
Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amekiri kuwa Serikali katika mpango wake wa miaka 10 wa kujenga vituo vya Polisi ngazi ya Wilaya...
Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited.
Dkt. Kijaji amebainisha...
Habarini wakuu,
Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.
Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara.
Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin.
Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria.
Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023.
Tukio la wizi lilivyokuwa
Dada mmoja...
Mheshimiwa sana DC wa Handeni ambaye alitokea upinzani anazurura kutetea mktaba mzuri na wenye maslahi kwa nchi,kwa nini?
Viongozi wa serikali na Chama wangetulia na wakatekeleza Mkataba na kwa muda mfupi matokeo yataonekana na aibu yao wanaoupinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.