Ipi ni Gari nzuri Kati ya Prado Tx cc 2690 na Toyota klugger cc 2360

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi.
Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo.
1. Uimara
2. Matumizi ya mafuta
3. Service
4. Muonekano

Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz.

Ila kila nikiangalia hizi klugger na Prado Tx cc 2690 haswa za dizel. Zilizoundwa Kati 1998-2002. Navutiwa nazo haswa Bei kwa used Tz kuwa Kati ya million 10 - 16. Ipi NI nzuri haswa kiuendeshaji
 
Unalinganisha Prado na Kluger ? Hauko serious !
 
Achana na kutumia gari private ya dizeli, kwa sasa uelekeo ni kutumia magari yasiyo haribu mazingira...
Yaani mnavyoongelea jumla jumla utadhani umefanya tafiti ya kutosha kuhusu diesel na petrol..Ford Raptor zipo za diesel,Toyota d4d nadhani ni diesel huko Hyundai Tucson hizi nyingi diesel njoo kwenye Mercedes X diesel hizo zote private..Bongo mazingira gani tunaharibu viwanda vyenyewe vichache magari machache kutokana na kodi imesimamia kucha tupo na gari za umri wetu mtu leo anazungumzia kupata gari ya 98 na 2002 kweli unaona sawa kabisaa...
 
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi.
Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo.
1. Uimara
2. Matumizi ya mafuta
3. Service
4. Muonekano

Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz.

Ila kila nikiangalia hizi klugger na Prado Tx cc 2690 haswa za dizel. Zilizoundwa Kati 1998-2002. Navutiwa nazo haswa Bei kwa used Tz kuwa Kati ya million 10 - 16. Ipi NI nzuri haswa kiuendeshaji
you are not serious bro, kwanza prado na klugger hazufanani kwa lolote hata body, bei ni tofauti sawa na mlima na kichuguu, maintainance cost ni tofauti..... fananisha klugger na kina harrier, van guard, rav 4 etc siyo na prado mzee..
 
Mzee unaogopa gari kula MAFUTA unataka Ile pilau au biliani acha mawazo mgando nunua gari hayo mengine mbele kwa mbele
 
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi.
Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo.
1. Uimara
2. Matumizi ya mafuta
3. Service
4. Muonekano

Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz.

Ila kila nikiangalia hizi klugger na Prado Tx cc 2690 haswa za dizel. Zilizoundwa Kati 1998-2002. Navutiwa nazo haswa Bei kwa used Tz kuwa Kati ya million 10 - 16. Ipi NI nzuri haswa kiuendeshaji
Prado ni kubwa kuliko Klugger.. But zinafanana kwa vingi ila kwenye udhaifu Prado zina tabia ya kuchomoka ball joint zikianza tu kuchoka
 
Back
Top Bottom