nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

    Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa. Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka. Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu RSA-ANC Ngoma nzito

    Kama mnavyojua ANC ni Chama rafiki wa Chama Chetu. Sasa ni zamu yetu kuwafundisha mautundu ya kushinda Kwa kishindo katika uchaguzi wao wa 2024. Kwa sasa hao ANC wamekabwa koo na DA (Western Cape yote), KwaZulu Natal na Gauteng. Yaan bila pesa kumwagwa huko itabaki Stori.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

    Habari za Mida hii Wana Jamii Forum Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa...
  4. ENICK

    JamiiForums Tanzania Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
  5. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Karibuni wagawaji wa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa Bilionea Msuya ngoma nzito

    Mjane wa Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (45) ameieleza Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, jinsi alivyoshiriki katika mgao wa mali za mume wake kwenda kwa ndugu wa Erasto Msuya. Amedai mgawanyo wa mali za marehemu mume wake, Erasto Msuya ulifanyika Februari 2014, ambapo baba na mama wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mvua nzito, mafuriko na upepo mkali vyachelewesha Israel kuivamia Gaza

    Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza. Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza. Wakati huohuo Hizbollah...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba Israel ilijiruhusu kuvamiwa ili ipate sababu ya kutoa dozi nzito bila kulalamikiwa inatumia nguvu kubwa kukabiliana na mgambo?

    Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Damu ni nzito kuliko Maji ni Uongo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji. Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kesi za uhaini ni mpango wa kuwanyamazisha wapinzani mpaka 2025 ipite

    Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana. Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite. List yao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Wizara afichua siri nzito mkataba wa bandari

    Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:. 1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa awamu hii ya sita pengine na ya Saba Simba msijisumbue kuhusu ubingwa subirini 2031--2032 hii issue ni nzito!

    Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili mpaka 2031 kwa Sasa milango imebanwa kisawasawa! Tuombe hiyo 2031 nchi asipewe yule jamaa wa iramba...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa CAF Al Ahly ya Misri yapigwa faini nzito ya milioni 276

    Kamati ya Nidhamu ya CAF imeipiga faini ya USD 120,000 (takribani shilingi milioni 276) timu ya Al Ahly ya Misri kutokana na matukio yaliyojitokeza katika mechi yake dhidi ya Al Hilal ya Sudan iliyofanyika 01 April 2023. Tukumbuke hii ilikuwa mechi muhimu kwa Al Ahly ambayo walikuwa wanaponea...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo). Ameweza...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu... Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo...
  19. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
Back
Top Bottom