nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga Mjini, Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Kimewaka! Mawakili wa Tundu Lissu waunguruma kwa ukali, watoa kauli nzito ya unyama unaofanywa kwa Lissu

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ngoma bado nzito na hivi sasa ni saa 4 usiku

    Ukimya watawala masikio Dodoma Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa...
  6. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito ACT na CHAUMMA Huwa nao wanapoteana CCM ikipoa nao wanapata nguvu Kuna Nini hapo?

    Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali. Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

    Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hizi tuhuma ni nzito sana, au ndo funika kombe mwanaharamu apite?

    Wasalaam. Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo. Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi...
  9. Genius Man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito

    Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jiandaeni Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV Nzito Na Ndefu Ya Paul Makonda. Mtapata Kumjua kwa Undani Zaidi

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025. Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Juma homera unaondoka mbeya na Siri nzito !!

    Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Barua nzito ya kijana Mkatoliki kwa Maaskofu yazua Gumzo

    Kijana mmoja Mkristo Mkatoliki ameandika barua ya wazi kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akieleza masikitiko yake juu ya kile anachokiona kuwa ni kuingizwa kwa Kanisa katika mijadala ya kisiasa. Katika barua hiyo iliyojaa maneno makali ya kiimani na rejea nyingi za Maandiko...
  13. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania 🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  14. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kila unachokijua sasa ni uongo,ulidanganywa... Ukweli wenyewe ulifichwa na sasa upo kwenye njozi nzito za usiku wa manane

    MIAKA 500 ZA UDANGANYIFU Miongo Mitano ya Udanganyifu: Mabadiliko ya Ramani na Biblia Kama Silaha ya Wokovu Katika historia ya wanadamu, kuna matukio mengi ambayo yameathiri kwa kiasi kikubwa jinsi tunavyojua dunia na sisi wenyewe. Moja ya matukio hayo ni mabadiliko ya ramani na majina ya...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  17. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wapendwa dawa ya fungus kwenye mapaja naona na scrotum INAANZA kuwa nzito loh

    Shalom wapendwa Ma dk wenzangu Matibabu wote Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa nimekunywa grysofulvin wiki ikatulia kuwasha naona imerudi tena Mbaya zaidi naona na scrotum...
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
Back
Top Bottom