Kwenye Mjadala wa Vita Ya Israeli na Palestina( Hamasi) Mh Tundu Lissu hana Mpinzani. Ameibua Hoja nzito na siri Nzito iliyofichwa kwa Miaka 2000

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,295
Habari za Mida hii Wana Jamii Forum

Declaration of Interest

  • Mimi ni Mkristo Mkatoliki
  • Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria
  • Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi

Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa na mazungumzo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu.

Katika Mahojiano yale marefu yanayochukua muda takriban saa moja na Robo nimesikiliza kwa makini neno kwa neno.

Nakiri kusema kuwa Mh Tundu Lissu anamambo mengi ktk kichwa chake ambacho Dunia inahitaji kufahamu.

Huyu Mwamba ni msema kweli, na ukweli anausema na unamweka huru.

Tundu Lissu ana sifa moja tu. Anapozungumzia swala la watu na haki zao hana ile sensationalism ya kinafiki.

Ameorodhesha mambo mazito ambayo sijawahi kuyasikia wala kuyasoma zaidi ya Kudodosa tu.

Ktk kuujua ukweli wa Nchi Takatifu ya Kaanani na Middle East kwa Ujumla nilijipa muda wa kusoma, kutafiti na hadi kutembelea Middle East miaka mitatu iliyopita

Nimesoma vitabu vya Bibilia kama

-Mwanzo
-Hesabu
-Waamuzi
-Samweli wa kwanza
-Samweli wa pili
-Wafalme wa Kwanza
-Wafalme wa Pili
-Mambo ya Nyakati wa kwanza na wa Pili

Nimesoma pia
Vitabu vya Unabii na Ufunuo kama
Yeremia, Daniel, Ufunuo, Nehemia, Ezra, Esta n.k

Kupitia vitabu hivi nimezijua siri nyingi za Mafanikio ktk Maisha kwa level ya Mtu, familia na Taifa.

Nimejifunza siri nyingi kuhusiana na habari za Waisraeli na Warabu na Dunia ya Kale baada ya Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Zaidi ya Hapo nimetembelea kwa Undani Mji wa Yerusalem maeneo mbali mbali ikiwemo pia Tel Aviv.

Nimefika King David Hotel, pia Ubalozi wa Marekani pale Mtaa wa Mamilla.

Nimefika pia Old Jerusalem City( Part of Western Bank), Bethrehem na Kusini mwa Jerusalem karibu na Gaza (Ashkelon).

Kwa kutaka kujua zaidi nimefika Church of Sculpture(nitakuja na simulizi yake siku nyingine)

Nimefika Eneo la Hekalu la Suleiman na viunga vyake yaani four Quaters kwenye Mlima Wa Mungu kwa Wayebusi wa Arauna.

Pale kwa leo panaitwa Al- Aqsa Mosque. Nimezungumza na Wakazi wa hapo kwa kina wakiwemo maaskari wa Kipalestina wakiwa Lindo na kudhibiti Usalama pale.

Nimeongea kwa undani na Tour Guiders wa pale Jerusalem kuhusu historia halisi.

Baada ya hayo yoote na kiri kusema bado sana kuna mengi nilikuwa siyajui.

Hotuba na Mazunguzo ya Tundu Lissu ameibu SIRI nzito ambayo Dunia imefichwa kwa milenia nyingi.

Tundu Lissu aidha ni Nabii au Kiumbe cha ajabu kutoka sehemu fulani lakini sio Duniani.

Nimejazilizia ufahamu wangu kuhusu Mungu, Israeli, Kaanani, Palestina na Dunia kwa ujumla.

Natoa wito kila mpenzi wa kuongeza ujuzi maarifa asikilize kwa umakini Mazumzo hayo.

Ubora wa Mazungumzo ya Lissu haangalii Dini ya Mtu wala hajali wewe utajisikiaje.

Anaongea ukweli kama Ulivyo 100%

View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=HvkZSGykO8xKgtrj
 
Alot of details from This Man
 
Ukweli gani Lissu anaouzungumzia kuhusu mzozo wa Israel na palestina? Yeye anazungumza tu kama mwanasiasa kiongozi wa chama cha siasa mwenye ndoto ya kuwa rais wa nchi, nchi ambayo ni lazima ijifarague inasimama upande upi kati ya Israel na palestina katika siasa za kimataifa. Ukweli wa kuwepo taifa la Israel pale mashariki ya kati unajulikana, Lissu kachemka, bora angekaa kimya tu
 
Hiyo al aqsa mosque hailindwi na askari toka palestina.

Waliopewa jukumu la kuuhudumia ni nchi ya Jordan.

Uongo wa kwanza, tayari umeshanipa mashaka wa stori yako yote.
Kwani nimekuja hapa kubishana na wewe?
 
Ukweli gani Lissu anaouzungumzia kuhusu mzozo wa Israel na palestina? Yeye anazungumza tu kama mwanasiasa kiongozi wa chama cha siasa mwenye ndoto ya kuwa rais wa nchi, nchi ambayo ni lazima ijifarague inasimama upande upi kati ya Israel na palestina katika siasa za kimataifa. Ukweli wa kuwepo taifa la Israel pale mashariki ya kati unajulikana, Lissu kachemka, bora angekaa kimya tu
Kwa upande wako ukweli ni Upi?
 
Halafu mwandishi unajinasibu ni mkristo uliyosoma biblia sana, mbona unachanganya sana waamuzi na manabii, jibu swali, Esta ni nabii au mwamuzi? Unaposema umesoma mpaka vitabu vya unabii, mbona uko shallow hivyo kuhusu mzozo wa israel na palestina tangu zama za kale na sasa? Mkristo gani ukn hivyo? Uandishi wako unakuonesha wazi wazi kuwa wewe si mkristo na kama ni mkristo basi utakuwa ni mkristo usiyoyajua maandiko matakatifu katika mukhtadha wake
 
Lengo la uzi huu sio kubishana bali kujadiliana.

Nitafurahi tukijikitankwenye majadiliano na kuongeza ufahamu zaidi kuliko kuzodoana.
 
Habari za Mida hii Wana Jamii Forum

Declaration of Interest

  • Mimi ni Mkristo Mkatoliki
  • Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria
  • Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi

Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa na mazungumzo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu.

Katika Mahojiano yale marefu yanayochukua muda takriban saa moja na Robo nimesikiliza kwa makini neno kwa neno.

Nakiri kusema kuwa Mh Tundu Lissu anamambo mengi ktk kichwa chake ambacho Dunia inahitaji kufahamu.

Huyu Mwamba ni msema kweli, na ukweli anausema na unamweka huru.

Tundu Lissu ana sifa moja tu. Anapozungumzia swala la watu na haki zao hana ile sensationalism ya kinafiki.

Ameorodhesha mambo mazito ambayo sijawahi kuyasikia wala kuyasoma zaidi ya Kudodosa tu.

Ktk kuujua ukweli wa Nchi Takatifu ya Kaanani na Middle East kwa Ujumla nilijipa muda wa kusoma, kutafiti na hadi kutembelea Middle East miaka mitatu iliyopita

Nimesoma vitabu vya Bibilia kama

-Mwanzo
-Hesabu
-Waamuzi
-Samweli wa kwanza
-Samweli wa pili
-Wafalme wa Kwanza
-Wafalme wa Pili
-Mambo ya Nyakati wa kwanza na wa Pili

Nimesoma pia
Vitabu vya Unabii na Ufunuo kama
Yeremia, Daniel, Ufunuo, Nehemia, Ezra, Esta n.k

Kupitia vitabu hivi nimezijua siri nyingi za Mafanikio ktk Maisha kwa level ya Mtu, familia na Taifa.

Nimejifunza siri nyingi kuhusiana na habari za Waisraeli na Warabu na Dunia ya Kale baada ya Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Zaidi ya Hapo nimetembelea kwa Undani Mji wa Yerusalem maeneo mbali mbali ikiwemo pia Tel Aviv.

Nimefika King David Hotel, pia Ubalozi wa Marekani pale Mtaa wa Mamilla.

Nimefika pia Old Jerusalem City( Part of Western Bank), Bethrehem na Kusini mwa Jerusalem karibu na Gaza (Ashkelon).

Kwa kutaka kujua zaidi nimefika Church of Sculpture(nitakuja na simulizi yake siku nyingine)

Nimefika Eneo la Hekalu la Suleiman na viunga vyake yaani four Quaters kwenye Mlima Wa Mungu kwa Wayebusi wa Arauna.

Pale kwa leo panaitwa Al- Aqsa Mosque. Nimezungumza na Wakazi wa hapo kwa kina wakiwemo maaskari wa Kipalestina wakiwa Lindo na kudhibiti Usalama pale.

Nimeongea kwa undani na Tour Guiders wa pale Jerusalem kuhusu historia halisi.

Baada ya hayo yoote na kiri kusema bado sana kuna mengi nilikuwa siyajui.

Hotuba na Mazunguzo ya Tundu Lissu ameibu SIRI nzito ambayo Dunia imefichwa kwa milenia nyingi.

Tundu Lissu aidha ni Nabii au Kiumbe cha ajabu kutoka sehemu fulani lakini sio Duniani.

Nimejazilizia ufahamu wangu kuhusu Mungu, Israeli, Kaanani, Palestina na Dunia kwa ujumla.

Natoa wito kila mpenzi wa kuongeza ujuzi maarifa asikilize kwa umakini Mazumzo hayo.

Ubora wa Mazungumzo ya Lissu haangalii Dini ya Mtu wala hajali wewe utajisikiaje.

Anaongea ukweli kama Ulivyo 100%

View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=HvkZSGykO8xKgtrj

Umeandika vyema sana. Kwa hakika:

Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

1. Tatizo tulilo nalo ni husuda dhidi ya Lissu; mbaya zaidi ni kutokea kwa ma lawyer wenziwe ndani ya Chadema.

2. Kwamba kwanini nini Lissu? Wako tayari kuona kama vipi wayavae hata mabomu wajilipue naye; dhana kamili ya tukose yote; ajihadhali sana na watu hawa; siyo wema!

3. Wanadhani haya na wao mbona ni bora tu na labda hata zaidi? Nyani haoni kundule!

4. Allen Kilewella atakwambia yako kutokea katika aliyowahi kuandika:

IMG_20231223_053417.jpg

5. Uzi huu pia unajielekeza:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
 
Umeandika vyema sana. kwa hakika:

Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

1. Tatizo tulilo nalo ni husuda dhidi ya Lissu.m; mbaya zaidi ni kutokea Kwa ma lawyer wenziwe ndani ya Chadema.

2. Kwamba kwanini nini Lissu? Wako tayari kuona kama vipi wayavae mavomu wajilipue naye; dhana ya tukose yote; ajihadhali sana na watu hawa; siyo wema!

3. Wanadhani haya na wao mbona ni bora tu na labda hata zaidi? Nyani haoni kundule!

4. Allen Kilewella atakwambia yako kutokea katika aliyowahi kuandika:

View attachment 2850338

5. Uzi huu pia unajielekeza:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
Wakubali tu kuwa Mungu kampa kila mtu fungu lake. Lissu kapewa la pekee.
 
Habari za Mida hii Wana Jamii Forum

Declaration of Interest

  • Mimi ni Mkristo Mkatoliki
  • Nimetembelea Nchi ya Israel ktk majimbo ya Jerusalem, Galilaya na Samaria
  • Ni Mfuasi wa siasa za kutetea haki, amani na Maendeleo jumuishi

Katika Pita pita Zangu Mitandaoni nikakutana na Video Clip akiwa na mazungumzo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu.

Katika Mahojiano yale marefu yanayochukua muda takriban saa moja na Robo nimesikiliza kwa makini neno kwa neno.

Nakiri kusema kuwa Mh Tundu Lissu anamambo mengi ktk kichwa chake ambacho Dunia inahitaji kufahamu.

Huyu Mwamba ni msema kweli, na ukweli anausema na unamweka huru.

Tundu Lissu ana sifa moja tu. Anapozungumzia swala la watu na haki zao hana ile sensationalism ya kinafiki.

Ameorodhesha mambo mazito ambayo sijawahi kuyasikia wala kuyasoma zaidi ya Kudodosa tu.

Ktk kuujua ukweli wa Nchi Takatifu ya Kaanani na Middle East kwa Ujumla nilijipa muda wa kusoma, kutafiti na hadi kutembelea Middle East miaka mitatu iliyopita

Nimesoma vitabu vya Bibilia kama

-Mwanzo
-Hesabu
-Waamuzi
-Samweli wa kwanza
-Samweli wa pili
-Wafalme wa Kwanza
-Wafalme wa Pili
-Mambo ya Nyakati wa kwanza na wa Pili

Nimesoma pia
Vitabu vya Unabii na Ufunuo kama
Yeremia, Daniel, Ufunuo, Nehemia, Ezra, Esta n.k

Kupitia vitabu hivi nimezijua siri nyingi za Mafanikio ktk Maisha kwa level ya Mtu, familia na Taifa.

Nimejifunza siri nyingi kuhusiana na habari za Waisraeli na Warabu na Dunia ya Kale baada ya Uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Zaidi ya Hapo nimetembelea kwa Undani Mji wa Yerusalem maeneo mbali mbali ikiwemo pia Tel Aviv.

Nimefika King David Hotel, pia Ubalozi wa Marekani pale Mtaa wa Mamilla.

Nimefika pia Old Jerusalem City( Part of Western Bank), Bethrehem na Kusini mwa Jerusalem karibu na Gaza (Ashkelon).

Kwa kutaka kujua zaidi nimefika Church of Sculpture(nitakuja na simulizi yake siku nyingine)

Nimefika Eneo la Hekalu la Suleiman na viunga vyake yaani four Quaters kwenye Mlima Wa Mungu kwa Wayebusi wa Arauna.

Pale kwa leo panaitwa Al- Aqsa Mosque. Nimezungumza na Wakazi wa hapo kwa kina wakiwemo maaskari wa Kipalestina wakiwa Lindo na kudhibiti Usalama pale.

Nimeongea kwa undani na Tour Guiders wa pale Jerusalem kuhusu historia halisi.

Baada ya hayo yoote na kiri kusema bado sana kuna mengi nilikuwa siyajui.

Hotuba na Mazunguzo ya Tundu Lissu ameibu SIRI nzito ambayo Dunia imefichwa kwa milenia nyingi.

Tundu Lissu aidha ni Nabii au Kiumbe cha ajabu kutoka sehemu fulani lakini sio Duniani.

Nimejazilizia ufahamu wangu kuhusu Mungu, Israeli, Kaanani, Palestina na Dunia kwa ujumla.

Natoa wito kila mpenzi wa kuongeza ujuzi maarifa asikilize kwa umakini Mazumzo hayo.

Ubora wa Mazungumzo ya Lissu haangalii Dini ya Mtu wala hajali wewe utajisikiaje.

Anaongea ukweli kama Ulivyo 100%

View: https://youtu.be/uuCyN8MHBn8?si=HvkZSGykO8xKgtrj

Mimi kwenye story naamini Vitabu vya dini tu. Lissu mwenyewe sio msomaji mzuri wa vitabu vya dini.
 
Ni kweli na wala hakubase ktk Vitabu vya dini kwenye hoja zake.

Kilichonishangaza ni Ukweli aliosema uko kwenye vitabu na historia na matukio halisi.
Mimi nikiwa shahidi namba moja nimefika maeneo hayo na nimefanya angalau kautafiti ka kujitegemea.
 
Mbona hawajaeleza hao wayahudi walitokea wapi kabla ya kuhamia huko Ulaya?
mi naona hapo Lissu kaongea blablaa tu za siasa za kimataifu kuhusu mzozo wa israel na palestina, ni kutaka kujipendekeza kwa nchi za kiarabu/kiislam ambazo ni madola yenye uchumi mzuri ili siku akiwa rais naye asaidiwe kuinua uchumi wa nchi yake
 
Umewaza kama mtu duni sana. Huna hata sifa ya kuwa kwenye jukwaa hili.

Sema JFs haifanya kuchuja watu wewe tungekuondoa tu.
 
Back
Top Bottom