Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Ivan Stepanov

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
4,889
15,939
Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.

Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.

Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo. Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabidi mimi nihamishie ofisi nyumbani, I had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl. Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.

Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.

Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa hapa nyumbani na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.

Sasa wakuu, ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuhi kutegemeana na jana usiku nimerudi saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuhi na huwa anatoka na watoto anawaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.

Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo.

LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hili lakini namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.

Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.

Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hizi naondoka kabla ya wao. Yaani hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayari kwa kuvaa na kuondoka.

Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.

Kwakifupi siwezi hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakweli imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kazi za kufanya ofisini mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.

Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwezi kumuangalia huyu binti maana unahisi kama wife asije akakuona.

Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.

Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.

Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni. Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu binti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.

Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.

Alamsiki
 
Mkuu inaonekana wewe ndio shetani anakuambia fanya asikupite huyu
Uliposema she's beautiful halafu tena ukasema kamenona katoto cheupee
Hapo unasubiri go ahead ya wazinzi hapa ili upate support zao
Ila mimi kama mzazi na nina watoto kama hako unakokazia na kusubiri Baraka za humu kwa kweli nakushauri ukape amani kabisa tena wewe ndio uwe kama mzazi na kukafundisha mema kwani anataka awe doctor
Sijui kama ni maisha yako au ni hadithi
Lakini unachotafuta sio kizuri
Kaa mbali nae au kuwa kama mlezi mwenye maadili

Sio kama nakukaripia lakini nimepitia situation za hivi zaidi ya mara tano watoto wa jamaa wakija nyumbani na tizama yangu tu wanaona kama baba yao anawaangalia
Siwezi kula vitoto vya jamaa hata mfanyakazi wa ndani
Nisamehe kwa maneno kuntu ila naona ni uzee pia
Uwe na jioni njema, na usitoke mapema kisa unaogopa wife atashuku hapana, unaogopa utakarukia mkiwa peke yenu don't
 
Hakika mkuu. Uwe na amani siwez kabisa kufanya hivyo.
Am just being honest and this is not just a story.it is true.
 
Hapo jamaa aliposema Mungu si Athumani kwa msiomfahamu Athumani miaka yote hii ni huyu hapa.

Polish_20240211_203557551.jpg
 
Mkuu wewe mwenyewe hujiamini kubaki na huyo binti. Unataka wife akuaminije? Ebu tunza ndoa yako wewe usijeponzwa na kichwa cha chini, utaharibu ndoa yako na familia ya upande wa mkeo.
Au unafikiri mkeo yeye hatongozwi huko kazini? Au anavyokulindia heshima unamuona mjinga! Kwa taarifa yako ungejua wanaommezea mkeo mate ungeingia unyonge.
 
Mkuu kwanza kabisa nikubaliane na wewe kuwa hata wife anamezewa mate sana tu.

Ila katika mambo ambayo nilishakataa presha yake bas ni hil suala la yf. Wajanja wanaoweza kumla wamle tu wala haina shida hata. Aliwe, aioshe vizur arud nayo nyumbanisaf na mimi nike kuila. No hard feelings
 
Back
Top Bottom