Naomba kujuzwa gharama ya plaster

Sep 24, 2014
53
31
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
 
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
Mfuko mmoja wa cement unacover SQM 13 mpaka 15 kwa ratio ya 1:5, na SQM 10 mpaka 12 kwa ratio ya 1:4

Plaster ya ratio 1:4 unapiga ktk kuta za nje
Plaster ya ratio 1:5 unapiga ktk kuta za ndani

Piga hesabu jumla ya eneo la kuta za ndani gawanya kwa 10, na jumla ya eneo la kuta za nje gawanya na 13 ili upate idadi ya cement, ukishindwa karibu PM (sio bure)

NB: Ni muhimu kumtumia mtaalam wa ujenzi kama mshauri vinginevyo unaweza kukwepa pesa ndogo ya kumlipa mtaalamu lakini ukaja kupigwa pesa ndefu na mafundi kwa sababu ya kutojua mambo ya ujenzi
 
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
Kaka )ulishawahi kuleta uzi kwa ajili ya jambo hili hili. Huoni kama ungeendeleza tu uzi ule ule kama kuna kitu hukuelewa uulize pale pale?

Similar Discussions

Back
Top Bottom